BW. HARUSI - GEORGE
UKUMBI - HILL TECH (BANANA)
SALON - DOUBLE ''T'' HAIR DRESSING SALON
WINIFRIDA
MR & MRS GEORGE
VIOLET AU MRS DENIS- Msimamizi waBi harusi
Mr. Denis -Msimamizi wa Bw. harusi
Hapa anatambulisha ndugu wa upande wake
tunapeleka keki ukweni - full unyenyekevu
zamu ya wao nao kupeleka keki ukweni
kila mtu akimlisha keki msimamizi wake - ishara ya upendo

it was fun kiukweli,
KILA LA KHERI WATOTO WETU, MWENYEZI MUNGU AWAJALIE YOTE YALIYO MEMA, NA AWAEPUSHIE YOTE YALIYO MABAYA JUU YENU
mmependeza sana wote, bi harusi mzuri kweli,
ReplyDeletenimempenda sana,
Mmependeza sana dada violet, yani nimependa sana, ulivyotoka mwenyewe? unajua kama wewe ni mzuri? sio siri nakupenda sana, najaribu kukutafari vile ulivyo, na nina hamu sana ya kuonana na wewe, niwe mdogo wako wa hiari tu, najua utanishauri vingi vya kufanya,
ReplyDeletehta bi harusi amependeza, amevaa simple, nimependa sana
Mungu awabariki maharusi
kama kupendeza kusema ukweli mmependeza
ReplyDeletesema bi harusi alichemsha kukuchagua wewe umsimamie, kwakuwa rangi zenu ni tofauti, alitakiwa asimamiwe na mtu mweusi zaidi yake, hapa wewe ndio umemfunika, lakini kwa kupendeza mmependeza sana, nisiwaminyie, mmewaka vizuri, ila bw. harusi alikuwa anaogopa camera, hakuwa free kama bi harusi, nimempenda bi harusi ana kisura kizuri
waoo cute wotee tuekee mikasa mipya my sisi V pls
ReplyDeleteda violet umependeza jamani, hongera shoga mume wako aaah handsome...lol, anyways mi naona kama huyo dada ni mdogo angechagua mtu wa makamo yake, mdogo mdogo kama wewe, halafu shoga uwe unawapaka make up ambazo sio za kwenye jua, yaani kama hiyo ulompaka si unaona kinsi ilivotoka vibaya kwenye picha??? chagua makeup za usiku...ni ushauri tu
ReplyDeleteUmejitahidi kwa kweli, ila make up bado kidogo, jitahidi ujifunze make up nzuri
ReplyDeletemwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteviolet umemfunika mwenzio
ReplyDeletewewe mweupe sana, bi harusi mweusi
kupendeza mmependeza, lakini the way mlivyochaguana, hapana wala sio nzuri, alitakiwa asimamiwe na mtu mweuzi kupita yeye
Umependeza kuliko bi harusi, hatari hiyo!
ReplyDeleteViolet Nguo yako ilishonwa vizuri sana dah fundi anapatikana wapi?
ReplyDelete