Wednesday, February 10, 2010

BREAKING NEWS
Breaking news kutoka mahakama ya rufaa: Babu Seya, Papii Kocha waendelea kutumikia kifungo cha maisha baada ya mahakama kuthibitisha walishiriki katika kesi ya kubaka , Wakati Nguza Mbangu na Francis Nguza waachiwa huru na kurudi ushwahilini
Inatia huruma sana, inasikitisha sana, waototo wawili wameachiwa huru na kurudi uraiani
lakini Nguza na Mwanae Papii warudishwa gerezani kwa kilio kikubwa sana!
habari hii imenihuzunisha sana!
4 comments:

 1. nahisi mwili kuganda,
  tumbo la uzazi linanikata
  machozi yananitoka
  naskia kizunguzungu kabisa
  hivi ni kweli walibaka? au ni kesi ya kutengeneza? MUNGU AUJUA UKWELI, kama sio ukweli watatoka tu!
  inauma sana, kesi iliwahusisha wote, mbona wametolewa wawili tu! inawaingia akilini hiyo??? yule mwalimu alikimbiliaga wapi?? nae si alikuwa anajua kwakuwa alikuwa akipewa pesa wanapokwenda kuchukuliwa watoto???
  HIVI TANZANIA KUNA HAKI KWELI????
  WAMEONEWA

  ReplyDelete
 2. Mheshimiwa...................kifungo mateso uliyowapa yametosha, waachie huru.

  ReplyDelete
 3. Hainitii huruma coz mahakama inafata mkondo wake.kweli kama walikkua wanafanya unyama ule na wafungwe tuu maana ingekua mwanao kaharibiwa na babu seya unadhani ungemwonea huruma.ungesema anyongwe leo.Mahakama hadi imfunge mtu ina vithibitisho vya kutosha vya hoa watoto waliofanywa vibaya.But mahakama ingefanya hima kuwaachia watoto wote ila mzee mzima aendelee kula nondoz.

  ReplyDelete
 4. Jamani masikitiko makubwa sana inauma sana niliposikia jambo hilo.mahakama haijatenda haki hata kidogo,kama iliamua kuwaachia huru ingefanya hivyo kwa wote.wamesota jamani,hadi wamechakaa.mhh this Tz haina huruma hata kidogo.maisha ya gerezani maisha ni magumu sana na ya mateso ukiangalia maisha walikua wanaishi na sasa inatia huruma saaaana.Mimi siamini kama ni kweli labda ilikua ya kusuka alikua na bifu na mkubwa ikabidi abambikizwe zengwe lote hilo.

  ReplyDelete