Tuesday, February 9, 2010

UNAIELEWAJE VALENTINE DAY

siku hiyo zawadi zinakuwa nyingi sana, zenye red tu!

Wewe unaielewaje siku hii ya Valentine,
 kuna wengi wetu tunajua tu kwamba ni siku ya wapendanao, mwingine anakanusha na kusema kila siku tunapendana, hii valentine ina maana ingine tu!, hebu tuwekane sawa hapa.

4 comments:

 1. ni sherehe ya watu wasiokuwa na majukumu ya kufanya.

  ReplyDelete
 2. party ya wanafunzi

  ReplyDelete
 3. Hii kama ilivyo watu wengi wanasema kama ni siku ya wapenzi!la hasha hii ni siku ya watu wasiojua maana ya wapendanao.kama kweli mwapendana ya nini kuonyeshana siku ya wapenda na kupeana zawadi siku hio.zawadi ni any time kwa wapendanao.

  ReplyDelete
 4. ni siku ya kuadhimisha umalaya, huoni hata gest huwa zinajaa kabisa?
  kwanini msipendane siku zote?
  WIZI MTUPU!!!!

  ReplyDelete