Monday, June 27, 2011

SIJUI NJIA GANI YA UZAZI WA MPANGO HAINA MADHARA NAOMBA USHAURI

Hallow dada violet mimi ni mama wa mtoto mmoja namshukuru Mungu anaendelea vizuri, dada violet naomba ushauri ipi ni njia sahihi ya kuzuia mimba kwani

nilikuwa natumia sana mipira (condom) ila naona inanidhuru kwani inanisababishia kuwashwa mara kwa mara. naomba ushauri wako na wadau wengine nitumie kinga gani kuzuia ujauzito kwa sasa kwani mwanangu bado ni mdogo anaitaji ukaribu wa mama. asante sana
Friday, June 24, 2011

WAKAZI WA MOROGORO MPO TAYARI, MMEJIPANGA????Ni Tarehe 01 / 07 / 2011, Ndani ya hoteli Ya Ukweli  Morogoro Hotel, warembo 15 watapanda jukwaani kuwania taji la Miss Morogoro 2011. Shindano litaanza saa mbili usiku hadi saa sita likishindikizwa na burudanikabambe toka kwa timu nzima ya Tip Top Connection, pamoja na vibwagizobabukubwa toka kwa msanii Wanne Star.
Kiingilio kitakua 10,000 Tsh kwa mtu mmoja.
WATAMBUWE WAREMBO HAO WATAKAOPANDA JUKWAANI SIKU HIYO

MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 BERTHALIUS USIRI AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.
MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 REHEMA MARWA AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 RUBY JOSEPH AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

MSHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 SHARIFA ISSA AKIWA KAMBINI KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAKUFUNZI WAO, MRATIBU, MKURUGENZI WA FG ARTS PROMOTION, NA WAWAKILISHI WA WADHAMI WAO. AMBAO NI REDDS NA VODACOM TANZANIA.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA WAKIPATIWA ELIMU YA MAZINGIRA KUFUATIA KAULI MBIU YA SHINDANO HILO MWAKA HUU, AMBAYO NI “BETTER ENVIROMENT TODAY” (BET).

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 REHEME MARWA (KUSHOTO) NA SHARIFA ISSA (KULIA).

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 SALMA KUYELA (KUSHOTO) NA ASHA SALEH (KULIA).

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 TOKA KUSHOTO NI NAJMA ALLY, SALMA S. KUYELA NA BERTHALIUS USIRI.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 TOKA KUSHOTO NI AGNESS ROISER, PENDO DANIEL NA HASNAT KHAMIS.

WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 KWENYE PICHA YA PAMOJA WAKIPATIWA ELIMU YA MAZINGIRA KUFUATIA KAULI MBIU YA SHINDANO HILO MWAKA HUU, AMBAYO NI “BETTER ENVIROMENT TODAY” (BET).

BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 WAKIPATA KIFUNGUA KINYWA KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.

MREMBO JACKLYN KITINKA AKIWA NA WASHIRIKI WENZIWE KWENYE CHAKULA CHA JIONI KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.

    
BAADHI YA WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS MOROGORO 2011 WAKIPATA CHAKULA CHA JIONI KAMBINI MWAO KWENYE HOTELI YA MASUKA VILLAGE MOROGORO.

Kazi kwenu jamani, kiingilio ni 10,000/= tu (elfu kumi)  mie ntafunga safari kwenda nikashuhudie catwalk za ukweli, hii si ya kukosa wakazi wa morogo, hii itakuwa Bab Kubwaaaa, coz maandalizi yake tu!  Ni ya kutisha, anza kuzichanga hizo 10,000 /=