Monday, July 22, 2013

KILA NINACHOONGEA NA MCHUMBA WANGU ANAENDA KUDISCUSS NA MAMA YAKE -SIPENDI , NIFANYAJE

ASANTE Violet kwa kunipatia fursa huu...
jambo moja linalonitatiza ni huu:-Mpenzi wangu  anaongea na mama yake saana.kwa nini ninaudhika?
kwa sababu anamwambia mambo yote ya kisiri ambayo bwana na bibi inafaa waongee.
kwa mfano...last time tulivyogombana ilikuwa hivi:-nilimuuliza :kwa nini ulienda town jana,ukaniambia unaenda kununua frem ya spectacles
na leo ukaniambia unaenda kuona customers town pia?akanijibu mimi nilienda kuona customers leo.jana nilienda kuleta frems nikamuuliza si ungeenda siku moja kuleta frem na kuona customers?

alivyofika nyumbani tukagombana...
baadaye akampigia mamake, akamwambia
"ananiambia nilikuwa nimeenda kupeana "tiondo"(tiondo kikwetu inamaanisha "sex)

nilishangaa sana nikajiuliza, kwani mpenzi yangu anaongea maneno haya chafu na
mammake ,, kila kitu anasema, kwanini?
hebu nishauri vile nitakavyoendelea...