Saturday, March 30, 2013

MWANTUMU - KITCHENPARTY

HALL - MWIKA (SINZA)
COLOR- GOLD, CREAM,ORANGE,
BI HARUSI MTARAJIWA KWA SIKU HIYO.. BI MWANTUMU

MSIJALI, MAMA SHUGHURI NILIWAKILISHA

KEKI HIYO.. WAWILI KITANDANI,,, 
NIKIWA NA MARAFIKI ZANGU, KUTOKA KULIA  NI WINIFRIDA, MIMI, ANAEFATA NI DADA WA BI HARUSI, AITWA BIA ASIA,, NA KUSHOTO KWANGU KABISA NI CATHERINE

DADA ASIA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE

WOOTE HAO NI MADADA WA BI HARUSI MTARAJIWA,,, ALOPIGA MAGOT NI MDOGO WAO ALIKUWA AKIWATUNZA DADA ZAKE .. KUPENDWA RAHA JAMANI, WENGINE WAMESHINDWA KUJIZUIA WANALIA,,, NA SIE WENYE MACHOZI YA PROMOTION, TULILIA LAKINI MACHOZI YALIKUWA YA FURAHA
TULIWAWAKILISHA WAPENZI

KILA MEZA ILIKUWA NA CAKE,,, SO MEZA YETU SISI TULIMTEUA CATHERIN ATUKATIE KEKI, TULIKULAJE???

TUNAKUTAKIA MAISHA MAME NA YENYE FURAHA  MWANTUMU