Thursday, May 24, 2012

MPENZI WANGU AMEFUNGWA MIRIJA YA UZAZI… JE INAWEZA KURUDISHWA AKAZAA TENA?

Naombeni ushauri wenu wapendwa nimepata mchumba ambae yuko serios kunioa, .lakini before kuwa na mimi aliwahi kuzaa na mzungu,  na  badae wakakubaliana mwanaume afanyiwe vacastomy, akakubali wakamfanyia, .. baadae wakatengana na huyo mzungu ndio nikawa nae mimi,
Kweli tunapendana sana mpenzi wangu, yani zaidi y asana, swali,,,, nikubali kuolewa nae???? Anaweza kuja kuzaalisha tena??? Au uwezekano wa kuzalisha tena hatakuwanao? Nataka nijuwe mapema kabla sijachuwa maamuzi, ila kwa ufupi tunapenda sana,,,, nategemea ushauri wako dada/Tuesday, May 22, 2012

HIVI NI SAHIHI MPENZI WAKO KUWEKA PASSWORD KWENYE SIMU YAKE


Marumbano mengi sana yanahusisha simu za mikononi,,,watu wanatumia simu kutongozana, hadi kukutana na kufanikisha lengo lao, kwa njia ya sms, na hata kwa kupiga…. Ndio maana unakuta watu wengi simu zao zinakuwa na password,… ukiuliza wanajitetea kwamba anataka details zake ziwe sectret… sasa secret hiyo iwe hadi kwa mpenzi wako?? Kama nyie ni wamoja, unaficha nini kwenye simu yako????
AU WEWE MSOMAJI UNAONAJE??????????