Sunday, February 28, 2010

KARIBUNI KATIKA MAISHA YA NDOA MR & MRS GEORGE.

BI .  HARUSI - WINIFRIDA
BW. HARUSI - GEORGE
UKUMBI - HILL TECH (BANANA)
SALON - DOUBLE ''T'' HAIR DRESSING SALONWINIFRIDA

MR & MRS GEORGE

VIOLET AU MRS DENIS- Msimamizi waBi harusi

Mr. Denis -Msimamizi wa Bw. harusi


Hapa anatambulisha ndugu wa upande wake

tunapeleka keki ukweni - full unyenyekevu

zamu ya wao nao kupeleka keki ukweni

kila mtu akimlisha keki msimamizi wake - ishara ya upendo

it was fun kiukweli,

KILA LA KHERI WATOTO WETU, MWENYEZI MUNGU AWAJALIE YOTE YALIYO MEMA, NA AWAEPUSHIE YOTE YALIYO MABAYA JUU YENU

10 comments:

 1. mmependeza sana wote, bi harusi mzuri kweli,
  nimempenda sana,

  ReplyDelete
 2. Mmependeza sana dada violet, yani nimependa sana, ulivyotoka mwenyewe? unajua kama wewe ni mzuri? sio siri nakupenda sana, najaribu kukutafari vile ulivyo, na nina hamu sana ya kuonana na wewe, niwe mdogo wako wa hiari tu, najua utanishauri vingi vya kufanya,
  hta bi harusi amependeza, amevaa simple, nimependa sana
  Mungu awabariki maharusi

  ReplyDelete
 3. kama kupendeza kusema ukweli mmependeza
  sema bi harusi alichemsha kukuchagua wewe umsimamie, kwakuwa rangi zenu ni tofauti, alitakiwa asimamiwe na mtu mweusi zaidi yake, hapa wewe ndio umemfunika, lakini kwa kupendeza mmependeza sana, nisiwaminyie, mmewaka vizuri, ila bw. harusi alikuwa anaogopa camera, hakuwa free kama bi harusi, nimempenda bi harusi ana kisura kizuri

  ReplyDelete
 4. waoo cute wotee tuekee mikasa mipya my sisi V pls

  ReplyDelete
 5. da violet umependeza jamani, hongera shoga mume wako aaah handsome...lol, anyways mi naona kama huyo dada ni mdogo angechagua mtu wa makamo yake, mdogo mdogo kama wewe, halafu shoga uwe unawapaka make up ambazo sio za kwenye jua, yaani kama hiyo ulompaka si unaona kinsi ilivotoka vibaya kwenye picha??? chagua makeup za usiku...ni ushauri tu

  ReplyDelete
 6. Umejitahidi kwa kweli, ila make up bado kidogo, jitahidi ujifunze make up nzuri

  ReplyDelete
 7. mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 8. violet umemfunika mwenzio
  wewe mweupe sana, bi harusi mweusi
  kupendeza mmependeza, lakini the way mlivyochaguana, hapana wala sio nzuri, alitakiwa asimamiwe na mtu mweuzi kupita yeye

  ReplyDelete
 9. Umependeza kuliko bi harusi, hatari hiyo!

  ReplyDelete
 10. Violet Nguo yako ilishonwa vizuri sana dah fundi anapatikana wapi?

  ReplyDelete