Friday, February 19, 2010

WAPENDWA WANGU, JARIBUNI KUFUPISHA MIKASA YENU MNAYOITUMA

My dears, tujaribu kufupisha mikasa tunayoituma,
ni mirefu sana, tuandike yale mambo ya msingi tu yanayohitaji ushauri, ili isiwape wachangiaji shida na uvivu wa kuisoma, ukiandika ndefu sana unanipa hata mimi kazi kubwa ya kuedit, na nyie mliotuma mikasa yenu na bado sijairusha kwa ajili ya kushauriwa , msidhani sijaipata, nimeipata, ila iko mingi, sasa utaratibu wangu nikwamba, natuma mkasa mmoja mmoja, mtu anashauriwa cha kufanya, then napost mwingine, nikituma yote kwa pamoja, hainogi, itawapa uvivu wachangiaji kusoma, na huenda wasisome kabisa,
so msione nimewatenga, hapana tupo pamoja na tutashauriana tu!
WEEK END NJEMA.

1 comment:

  1. Sawa kabisa dada v tunaomba nawewe uchangie mpenzi wangu au unasemaje lengo ni kujenga sio kubomoa.

    ReplyDelete