Monday, February 1, 2010

HATIMAYE TUNAWEZA GROUP IMEFIKISHA MWAKA MMOJA

 
Jamani tuna kikundi cha kina mama huko kwetu
GONGOLAMBOTO
sasa tarehe 30 january tulikuwa tumefikisha mwaka mmoja, tulifanya party simple tu
kwaajili ya kufurahia kufika mwaka mmoja, na pia kukitambulisha rasmi kwa viongozi wetu, ukumbi ulikuwa LIBERTY HOLL kulekule GOMS'
was fun kwakweli, coz tulienjoy sana


sare siku hiyo ilikuwa pink na white,  na mie ndio MWENYE KITI, we
niliku busy sana that day,


wageni wetu rasmi siku hiyo walikuwa ni Mr. Jery Silaha, ambae ni Diwani wa kata ya Ukonga
na Mrs, Violet Mbele ambae ni Mkurugenzi wa Sacos kule Ukonga


hapo MWENYEKITI Akisoma Risala kwa wageni rasmi, mh! ilipendeza kiukweli,


Mgeni Rasmi akitupa maneno yake ya busara, kwa kikundi, tulimpenda sana coz yupo simple na charming sana


WANAKIKUNDI HAO, tunaweza group wakinipa hongera baada ya kuwasilisha Risala yetu


ule wakati ukafika, Mrs Violet Mbele, nae alipewa heshima kwa kutukatia keki
 
hahahahahaaaaaaaaaaaa, ilikuwa tamu sana


MC alinipa nafasi ya kumlisha mgeni rasmi 


wana kikundi hao


Mume wa MWENYEKITI nae alikuwepo, kumpa support mke wake,


Tulifurahi sana coz tulipata nafasi ya kukutana na kufahamiana 


Mama huyu namtengemea sana kwa ushauri, Nae alifika kusherehekea pamoja nasi
thanks MARYRYOSE


AT the end tulipata msosi, tulikula tukasaza, 


mgeni wetu akipata msosi kabla ya kutoka, pembeni pale ni katibu wetu.
  
Tulifurahi sana maana tulijifunza elimu ya ujasiliamali toka kwa mgeni wetu
Violet , ilikuwa simple sana, na ilipendeza sana. malengo yetu ni mengiiii na ni makubwa sana
TUNAAMINI PENYE NIA PANA NJIA,
TUTATOKA TU! 

5 comments:

 1. waaaooooooooo! Boge la mnuso niliona kama utani kumbeeee mmmh. HONGERENI KWA KUFIKISHA MWAKA MMOJA. Sasa mnatembea kazaneni kwenye vikao vyenu na mipango yenu ili muanze kukimbia.

  MWEKITI MSAIDIZI

  ReplyDelete
 2. mmependeza sana Violet
  nimependa sare yenu
  sema viti mlikosea rangi, navyo ingekuwa nyeupe mngefunika, nimependa ulivyovaa, umetoka simple sana, sisi pia tuna chama, ila ugomvi kila siku, sijui hata tatizo letu ni nini, tuko huku tabata, huwa tunafanya kikao kila mwisho wa mwezi, hivyo nakuomba siku moja uje ututembelee ili uweze kututia moyo, maana naamini ndani ya mwaka mmoja uko na experience ya kutosha kabisa kuongoza kina mama, njoo utupe elimu,
  hakika nimependa sana, kumuona diwani, na huyo Mkurugenzi wa sacos
  violet, mmejitahidi, kwani cham chenu hakichukui watu wa mbali? kama kinachukuwa, kiingilio ni shs ngapi?? nijulishe
  mama Betty

  ReplyDelete
 3. umependeza mamy
  big up sana!, uko juu dada yangu, nimetokea kukupenda sana dada violet
  clara

  ReplyDelete
 4. wanawake oyeeee
  ni vizuri kua na vikundi kama hivyo, wanawake tunaweza kusaidiana na kuleta maendeleo.
  bigup mama tracy na wana group wengine!!!

  ReplyDelete
 5. Dada violety mmependeza sana jamani na nimependa hicho kikundi chenu, me nataka kujiunga nifanyeje?kiingilio sh ngapi?

  ReplyDelete