Friday, September 21, 2012

NJOONI TUZUNGUMZE--- HIVI KUNA KOSA LISILOSAMEHEKA?

binadamu kama binadamu tunakosea sana, kuna mambo mengi sana ambayo mwenzio akikufanyia especially kwenye suala la mapenzi, unaweza ukalia sanaa, ukashindwa hata kusamehe, sasa hebu njooni tuzungumze,,, hii ya kutokusamehe, iko sawa kweli?????? na kama yapo makosa yasiyo sameheka, hebu yataje hapa, tuyajue,,,, maana mimi violet Gerald, naamini kwamba makosa yoote yanaweza kusameheka, ila inategemea na jinsi wewe mwenyewe ulivyolichukuliwa,, umelipaje uzito hilo kosa ulilokosewa??????? karibuni tufundishane

Sunday, September 9, 2012

MIMI NI BIKIRA.. NIMEPATA BOYFRIEND .... JE NI SAHIHI KUNIBIKIRI
dada violet,naomba msaada wako...
mimi ni msichana wa miaka 24,nimemaliza chuo mwaka huu,bf wangu
anamiaka 23 yy yupo mwaka wa mwisho..
jaman mm nina matatizo.kwanza huyu bf simwelewi tunamiezi 8 sasa tangu
tuwe pamoja ..hatujafanya sex coz mm ni bikra ..kinachonisumbua ni kwamba
kuna kipindi tulibreak up coz most of the times tulikua
tunagombana.(nilikua namdoubt vitu ambavyo baadae nilijua hafanyi plus
nilikua cwez kucontrol hacra zangu kwake ovr vitu vidogo
anavyofanya...i took hm for granted sa hv am payin the price)
niliporudiana akawa kama hayupo into the relationship kama zaman but

kunakipindi anakua so sweet..kuna siku nilimuuliza kama ananipenda
akasema hataki kunimislead bt anachojua anafeelings kwangu..niliumia
bt nikachukulia poa...sasa anaweza kuuchuna for 3 days,ukimchunia yy
ataanza kulalamika..namejarib kumwacha  but nimeshindwa kabisa..  he
wants us tusex na mm nataka pia nifanye sex..je anadeserve kuwa my
first?pili mm jaman matiti yangu hayapo same size,ingawa ukiyaangalia
haraka huwez kujua..jaman hii ni kawaida kwa mtu at this age?pia huko
chin jaman plus pale ktkt ya makalio ni peuc(co sanaaaaaa) kuliko
rangi ya ngoz yangu,haitakua a turn off kwa mvulan wakati wa sex and z
it normal?...
...plz nisaidien....................


Monday, September 3, 2012

NINA MWANAUME AMBAE ALISHAOA, LAKINI WAMETENGANA NA MKE WAKE,, JE NISAHIHI MIMI KUOLEWA NAE??

kwanza hongera kwa kazi nzuri unayoifanya dada yangu Mungu akubariki.nahitaji kushauriwa, mimi ni binti nina miaka 27,sijaolewa bado.nimewah kudate 2 men bt hatukufika mbali kwa sababu mbalix2,sasa nimetokea kupendana na kaka mmoja  ye alishawah kuoa bt wako separated na mkewe kwa muda mrefu sasa,when i met him tayar alishatengana na mkewe so sijahusika kabisa kumuumiza mwanamke mwenzangu bt hawajavunja ndoa rasmi sabab ya process za divorse zinavyokuwaga.uwa ananiambia ndoa yake ilikuwa chungu isiyo na furaha so he cant go back to his wife na anataka kuwa nami maisha yake yaliyobaki,yuko kwenye 30'syrs,he loves me and i love him  so much.ombi langu kwa ushauri, je niko halali kuendelea nae nikisubiri avunje ndoa yake au nitakuwa bado na hatia kwa mkewe thou hawakai wote?am confused.
usitoe email yangu dada yangu.
asante sana.thou sijawah kukuona live bt napenda jinsi ulivyo dada vaileth.God be with u.