Tuesday, March 9, 2010

WAPENDWA NIMEBADILISHA EMAIL ADRESS

Wapenzi wote mlionitumia mikasa yenu ya kuhusiana na mapenzi, na ninyi ambao mtahitaji kutuma, kuanzia sasa nimebadilisha email adress yangu,BADALA YA KUWA  viot3fem@yahoo.co.uk imekuwa violet.gerald@yahoo.com. SO kuanzia sasa hivi mtumie hii,
Karibuni

 

4 comments:

 1. asante sana dada violet kwa darasa lako la leo, real nimeenjoy sana, na hope to get many things from you, thats first,
  second natarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa tano, naomba uwe mgeni kwenye harusi yangu, nitakupatia card free ya mwaliko kuanzia kitchen part, send off na harusi pia.

  tatu,
  sifa ulizozitaja zote mchumba wangu anazo, lakini kwenye suala la hasira, da! sijui itakuwaje, maana ni mwepesi sana wa hasira, ila ni mrahisi kusamehe, na huwa harudii, sasa niambie ndoa yetu hii itadumu?

  nakupenda dada violet, na pia ninaomba uniambie mapema maamuzi ya binafsi unayotakiwa kufanya, I wish ungesema leo leo. nahamu yakujua kma maamuzi hayo niliyafanya.
  siku njema dada, na masomo mema pia
  kaa ukujua nakupenda sana na nahisi kujifunza mengi sana toka kwako
  Maggie

  ReplyDelete
 2. kwa nini umewapa watoto wako majina ya kizungu?

  ReplyDelete
 3. mh! jamani haya mengine ni mambo yake binafsi, msiingilie, kwani majina ya kizungu yakoje na ya kiswahili yakoje? wabongo kwa kufatilia yasiyowahusu hamjambo.
  mwacheni dada wa watu lo!

  ReplyDelete
 4. jamani sasa majina ya watoto wangu yanahusika vipi hapa? si nikila mtu anaweza kumpa jina alitakalo mwane, ukitaka kumuita huzuni, sadaka, shida, jalala, yote ni uamuzi wa wazazi, ukitaka kuita furaha, ukalifanya happy, rehema ukalifanya grace, na imani ukalifanya faith, kuna tatizo gani, basi na mimi nilipenda majina haya tangu niko secondary, nikasema nikija kuzaa mtoto wa kike nitamwita Trace, na wa kiume nitamwita Tymon, ni majina ambayo nayapenda sana. wewe unaitwa nani? na wanao wanaitwa kina nani?

  ReplyDelete