NIMERUDI DEARS- THIS TIME KIPAPER KIMENITESA KIDOGO LO!
Wapendwa wangu, im back, mambo kama kawaidasasa,Maswali, ushauri hapa ndio mahala pake , ndio wakati muafaka kabisa, maana kidogo akili imetulia baada ya kumaliza mitihani yangu, ya 1st semester.
Naitwa violet Gerald, email yangu ni violet.gerald@yahoo.com
karibu katika blogu yangu/Blogu ya jamii kwa ajili ya kuweza kusaidiana mawazo juu ya maisha yetu ya kila siku hasa ya kimapenzi, so kama unahitaji ushauri Usisite tuma kwenye hiyo email yangu then utashauriwa ipasavyo
Pole kwa mitihani dear, naamini mungu atakusaidia utaperform vizuri.
ReplyDeletekaribu tena katika kutupa burudani na mafunzo sie wasomaji wako.
karibu dada
ReplyDeleteTunasubiri KKW za uhair na poleh na mitihani
ReplyDelete