Monday, May 16, 2011

KIMAMA ZAIDI,

umeona Unywele huo
 kimama zaidi
10 comments:

 1. umependeza sana l love that kitenge

  ReplyDelete
 2. waooooo, you look so smart dada, kumbe hata nguo ndefu zinakupendeza ee, umetubania picha, ungepiga na nyingine uliyosimama mbwanaaa, nautaka huo mshono wako dear, pleass, dont dharau, tuma uliyosimama nipate mshono,
  nakupenda sana violet, nakufagilia ile mbaya

  ReplyDelete
 3. Umependeza tupe siri ya mafanikio ya nywele zako maana wengine tuna vipilipili km inzi wataka ruka huku kichwani tumetumia hayo mafuta yao mpka tumechokaaaaaa so my dear.

  Hv a gd day

  ReplyDelete
 4. mpendwa hapo ulietaka kujua juu nywele zangu kuwa nzuri, usijali, ngoja nitakutumia kila ninachotumia kwa ajili ya nwele zangu, na kiukweli nimeona mafanikio makubwa sana, maana nywele zimerefuka sana, hazina mba, na wala hazikatiki kama zamani, ngoja niviarrange hivyo ninavyotumia then ill forward to you dear,
  thanks

  ReplyDelete
 5. SHOST NASUBIRI KWA HAMU VIVYO VITU NAMIE NIVIJUWE NIJARIBU KUTUMIA, MAANA NAHISI NYWELE ZANGU ZIMECHINA, ZIKO MBALI MBALI, YANI HADI AIBU KUBANA, ALWAYS NAVAA HIJABU KUFICHA,
  nisiwe mchoyo jamani, umependeza sana violet, kinge chako kizuri, rangi zimetulia, na mshono pia, umenoga mwaya

  ReplyDelete
 6. vipost hapa hapa tupate wengi hayo maaujanjaaaaaaaaa unayotumia,

  luv uuuuuuuuuuuu

  ReplyDelete
 7. nitapost hapa hapa wependwa wangu, maana kizuri kula na nduguyo, kwasasa niko tight kidogo, nina mitihani kuanzia juma tatu, ila nitakachokifanya nikitoka kwenye mitihani tu! nitawatumia vikorokoro vyote ninavyopaka
  PAMOJA SANA

  ReplyDelete
 8. Kwa kweli KKW (Kizuri Kula na Wenzio)Twasubiri kwa hamu bibi eeh na kutakia mitihani mema

  ReplyDelete