Friday, May 6, 2011

ANATAKA TUFANYE MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE, NIKIMNYIMA ANACHUKIA SANA, NAMI NAMPENDA NIFANYAJE???

Dada violet, na dada zangu wengine, naombeni mnisaidie mdogo wenu, nilikuwa na mchumba wangu ambae teyari ameshanitolea mahali, kipindi cha mwanzo alikuwa hana tabia ya kunifanya kinyume na maumbile,  yani hajawahi kabisa kuniambia ananitamani huku nyuma,

Lakini hivi karibuni kila tukikutana nae, anataka anifanye, siku ya kwanza alinifanya kwa nguvu, kusema kweli niliumia sana, yani nilimia dada violet, alipomaliza alinishukuru sana, na kesho yake akanipa na zawadi, (ni kama ananibembeleza) nilimfokea sana, na alikuwa kimya,

Mwezi wa tatu, akataka tena kunifanya kwa nguvu, nikamkatalia nikavaa nguo zangu nikaondoka kwake,  tukanyamaziana kama mwezi mmoja, badae akaniomba msamaha nikamsamehe kwakuwa nampenda sana dada, na nikajua keshajirekebisha, baada ya kupatana tukaenda kufanya tena, akalazimisha huku kanibana mikono kwa nguvu, akaipitisha, niliumia sana, yeye alipomaliza akatoa, akaanza kutubu upya,

Nililia sana, sasa ndio kwanza tunataka kuanza vikao vya harusi, kwa style hii nitaweza kweli dada? Wadau naombeni msaada wenu
25 comments:

 1. Ndoa gan hiyo! utaweza maisha ya kutoa tigo!! utazzaje mwenzangu, mmh, shirikisha mama au dada wa familia yako uone watakushauri nini, bt mimi call off that wedding

  ReplyDelete
 2. Anayekutaka kinyume na maumbile hakufai.mkimbie kama ukoma maana hakupeleki kwa Mungu. Mmeanza njia ya kwenda motoni. utubu na kumkimbia huyo na mrudishie mahari yake.Kama ni kuolewa mwombe Mungu.

  ReplyDelete
 3. Huyo si mwanaume, achana naye!Aende kwa hao waliomfundisha tabia hiyo.

  ReplyDelete
 4. Hivi hapo sasa unaomba ushauri gani? Katika hali ya kawaida tu na kwa normal person hutakiwi kuomba ushauri, yani hapo jibu tayri unalo. Unless otherwise unapenda huo mchezo. Lkn km hupendi shoga fungasha virago vyako timua! He is not the only man in the world my dia... wamejaa kibao! Kama Mungu kakupangia kuolewa shosti atatokea tu uliyepangiwa na Mungu.. Dada the guy is not THE RIGHT MAN FOR U! Ni shetani kbs huyo. Jamani dada, dunia inaisha hii, Mungu ALIKATAZA KABISA huo mchezo..pls tukienda kiimani zaidi km unapenda kuiona pepo siku ya mwisho, pls though hukupenda kufanyiwa ulichofanyiwa na huyo shetani, kneel down umuombe Mungu wako msamaha then move on my dia..Pls... TUPA KULE huyo mtu...! U'll never enjoy ure marriage jamani kwa staili hiyo, sasa ndoa ya nini na unaishi maisha yenye karaha hivyo? Pls achana nae! Nimesikitika mpk naskia kulia... wanaume wengine jamani... Mungu awasamehe tu!

  ReplyDelete
 5. mmh,huyo hafai kwani ukimnyima wewe,kuna wengine wa nje watampa.hayo sio mapenzi,kupenda huko kupenda gani?kuna wengine wanajuta baada ya kutoa nyuma,kwani kuliharibika.huyo kaka hatoacha kukusumbua,maana kama aibu asingekuomba kabisa,kipindi cha uchumba

  ReplyDelete
 6. Pole dada. Achana na huyo mwanume mara moja kwa jina la Yesu. Tena ukiolewa utanikumbuka. Huyo ni shetani kabisa. Na ni mbakaji. Ukiolewa kwa kuwa utakuwa wife atakufanya hivyo daily na utapata tabu wakati wa kuzaa. Na mkishafunga ndoa itakuwa complicated kuomba divorce. I wish ningekuwa nakujua dada ili nione kama unaolewa na huyo shetani au umemwacha. Nina hasira kweli!

  ReplyDelete
 7. Mwache huyo mchumba hakufai. maana inavyoelekea bila tigo yeye hafaidi. Hata akikwambia harudii jua fika atakuwa anaenda kutafuta tigo kwa machangu. Hachana nae kabisa mdogo wangu. Huyo Tigo ni starehe yake mwambie aendelee kutafuta atapata watoa tigo maana nasikia siku hizi wapo wa kumwaga asije kukuharibu bure!

  ReplyDelete
 8. Kwanza huyo anakurape. No means no. We kama unakataa kwanini akulazimishe hata kama ingekua the normal way.
  Why you like a guy like that? Je ni tajiri? Je unampenda kweli au unampenda kwa vile anakupa sijui zawadi. kama ulichukia kweli usingechukua hiyo zawadi. Inaonekana ameshajua weakness yako au yenu na familia yenu sasa anajua hutamuacha.

  Kama hujaingia kwenye hiyo ndoa kama huna elimu tafuta elimu yako, kama una elimu tafuta kazi yako. Mwanaume yeyote akikuona huna chochote basi atakuburuza kama nini lakini akikuona unasimama na miguu yako miwili atakusujudu. Ni hayo tu sijui dada yangu au mdogo wangu

  ReplyDelete
 9. Shost hakufai ndugu yangu utaweza maisha ya kurepiwa ndugu yangu, tendo la ndoa tuu kama hujaridhia akikufanyia kikungivu ni kama amekurepu sembuse stail hiyo, mmmmmmmmmm sshirikisha wahusika ndugu yangu kwani ukishaingia kwenye ndoa unatokaje, na ukingia kwenye ndoa kazi kama ni hiyo utajiharishia utuuzimani wewe shauri yangu

  ReplyDelete
 10. Mmmmh huyo hakufai kabisaa dada.

  ReplyDelete
 11. mmmmh huyo hakufaii kimbiiiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaa

  ReplyDelete
 12. Mh hivi ww dada una akili kweli mara ya kwanza lpofanya ulikaa kimya then mara pili tena na ww utazoea huo mchezo acha kabisa kama mchumba utapata mwingine kwani ulizaliwa nae hee unampemda km umpendavyo mama yako mzazi akufai kwa hiyo tabia yake hapana,kaa fikiri na jitambue ww ni nani jamani mbona unakuwa unapelekeshwa tu km unafanya hayo mapezni hotel unaogopa nn piga kelele kama huo mchezo uupendi utakuja oza pasipo sababu dada ukashindwa kuja zaa sababu ya kumuendekeza hiyo mwanaume shauriroo shosti.

  ReplyDelete
 13. Hakufai kabisa! hilo tendo halirusiwi na dini zote ibilisi mwenye anakimbia mkianza kufanya hivyo kwa sababu hataki kuwa shahidi kesho akaulizwe kwa mungu

  ReplyDelete
 14. Mdogo wangu huyo mchumba hakufai kabisa,tafuta ustaarabu mwingine kama Mungu amekuandikia kuolewa basi utaolewa na mume mwenye busara na siyo huyo shetani. nakuhakikishia kuwa ukiolewa naye tu basi ndo atakuwa anamaliza haja zake kwa njia hiyo haramu kwa hiyo ni bora usijitumbukize matatizoni ukaja jutia maisha yako yote.

  ReplyDelete
 15. Kwa kuongezea huyo mwanaume hawezi akaacha never...never...never, mimi ni mwanaume na ninajua ukifanya mara moja tu tendo hilo basi umeharibu! hiyo ladha ya nyuma ukionja huwezi kuachaaaaaaaaaaaaaaaaa! uliza watu wanaofanya kazi hiyo hata akitubu lazima atarudia tuuuu! achana naeeeeeee!

  ReplyDelete
 16. ACHANA NA HUYO KIJANA KABISA TENA MSEMEE KWAO ILI AONE AIBU AACHE HUO MCHEZO ASIEENDELEE NAO TENA

  ReplyDelete
 17. Achana naeee wakati huu we unajisikia maumivu baadae utanogewa na kuona utamu! wakati we unajisikii uchungu kwake yeye ni utamu uliopita kiasi! joto la nyuma ni kali sana na ni patamu mno!mimi mwanamke, mke wangu mtarajiwa nimpendae nimgeuze nyuma????kuna madhara makubwa dada yangu km mishipa kulegea baada ya kuzaa na mkojo kukutoka,kujamba ovyo,utashindwa hata kuzaa nk! aibu kupata mvulana mwingine halafu umepitiwa nyuma/tigo lol! nilimwaga demu wangu aliposema nimfire, nani wa kupasuliwa uume au kuuingiziwa bomba uzeeni!

  ReplyDelete
 18. ndugu najua unamkubali huyo mwanaume kwa kuwa anataka kukuoa, unashida ya kuolewa na inawezekana uyo mwanaume anauwezo ndio maana unaogopa kumuuacha ila tazama maisha yako na afya yako utakuja lia mpaka ujute kuzaliwa wakati huyo mwanaume anakuletea mke mwingine ndani ya nyumba. achana nae ameshakuaribu huyo. shauri yako!

  ReplyDelete
 19. am so sory abt wat happnd to you n all i can say is he's nat da ryt person for you....tc doin so mean no paradiseee so be carefull on your decisions

  ReplyDelete
 20. huyo ni shetani wa mguu mmoja achana nae kabisa mwanaume gani anae mlazimisha mchumba wake kufanya unyama wa hivo,wewe ni mwanamke na ipo siku utaolewa na mngine kaka yeye asikubabaishe na vijizawadi vyake,zawadi nzuri ni kukueshimu siyo hiyo anayo kununulia manake ana kununua,ili umpe nyuma ndo mana yake,mkimbie kama ukoma;
  think well about it!

  ReplyDelete
 21. siku moja mwambie na mimi ni msagaji kwa hiyo naomba kidogo ili nione na wewe kama unaweza na naomba kidogo uniridhisha kama kweli unanipenda!

  Hata rudia tena kuomba mchezo huo WAPUUZI SANA HAWA WANAPENDA KUHARIBU WATOTO WA WENZAO, MUOMBE NA WEWE HALAFU UWE SERIOUS UONE ANAVYO REACT, PUMBAVUUUUUUUUUUUUU ZAOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 22. Yaani wewe dada ukiolewa utakuwa umemkosea Mungu na umeshiriki kwenye dhambi iliyokatazwa. Kwa nini unakuwa na mchumba wa namna hiyo. Kwa nini tusikemee haya mabo jamani? Mimi najua sisi wanawake tuna kaujinga fulani na kujifanya tunajua sana kupenda. Kwa taharifa yako huyo mchumba wala hakupendi anakutumia. Hata wafiraji kwa taharifa yako hawawafiri wake zao kwa kuwa wanawapenda. Wanaenda kwa machangudoa. Utatuambia. Huyo atakuoa alafu huko nyuma pakilegea anakupa talaka anaoa mwengine ambaye yuko tight. Kwa ufupi huyo ni shetani nashangaa kwa nini unamfuga. Mimi nilimpiga chini mchumba wangu kwa kuomba tu tigo na wala hakupata huo muda wa kunibaka. Na sasa nimeolewa. Alokwambia wanaume wameisha nani?

  ReplyDelete
 23. DADA POLE SANA MI NAONA HUYO KAKA AMETOA MAHARI ILI UKUBALI MATAKWA YAKE MAANA WANAJUA TUKIONA MAHALI HUWA TUNAKOSA MAAMUZI KABISA AKILI YOTE INAHAMIA KWENYE KUWAZA NDOA!KUTOLEWA MAHALI NA KUANZA VIKAO C NDOA ATAKUHARIBU KABLA YA NDOA NA ATAKUACHA BILA KUKUOA.HANA NIA NZURI NA WEWE.MIMI PIA NILIKUA NA MPENZI NILIEMPENDA SANA NASHUKURU MUNGU MAANA KILA ALIPOTAKA TIGO NILIKATAA KWA KUMAANISHA ILA MWISHO WA CKU TULIACHANA NIKAWAZA JE NINGEKUA NIMETOA TIGO C TUNGEACHANA NA TIGO AMEKULA NA MIMI NATARAJI KUWA MAMA ONE DAY ILA HAIKUWA RAHISI KUACHANA NILIOMBA SANA MUNGU ANIAMBIE KAMA HUYU NI MUME WANGU AU LA MAANA NILIONA TABIA ZAKE NA ZANGU NI TOFAUTI NA NILIHIC NAMPENDA SANA KUMBE CYO NI PEPO ALINIFUNIKA NA HARUFU YA UPENDO ILI NIKOSE MAAMUZI SAHIHI.UCKUBALI HATA AKITISHIA KUKUACHA.USIKUBALI KUFANYA MAOVU KWA KUFUNIKWA NA UPENDO NI SHETANI HUYO ANAKUFANYA UCCHUJE BAYA NA ZURI.PRAY FOR URSELF

  ReplyDelete
 24. Mmmmh, dada chapa lapa haraka sana, huyo cyo mume ni kigego, yaani ulitakiwa alivyokufanya tu mara ya kwanza umdelete completely shetani kabisa huyo. mume mume wa mavi!! looh!!

  ReplyDelete
 25. pole sana dada yangu but jaribu kuchukua ushauri wa wa2 hapo juu waliokushauri kuachana na huyo mwanaume,sababu hata mimi nilikuwa nampenzi ambaye 2lipendana sana na nilikuwa nikimgharamia hadi mahitaj ya familia yao 2kiwa kwenye uhusiano miaka mitatu alianza hiyo tabia ya kudai tigo,nilijaribu cku moja nikapata maumivu niliomba ushauri kwa wanasaikolojia walinishauri kama nipo tayari kutembea huku nimejisokomeza matambala mkunduni na kupata maradhi yatakayo nisumbua maishani niendelee nae ila kama cpo tayari nifungashe virago,ckujali nmemsaidia pesa kiac gani au tumefanya vingap nilimpigia simu kuachana nae na sahivi nipo na mtu mwingine mstarabu wala hayahitaji hayo mambo,kusanya virago utapata mwingine

  ReplyDelete