Monday, May 16, 2011

SITAMANI KUSHIRIKI TENDO LA NDOA- LAKINI NAHOFIA MUME WANGU ANAWEZA KUTOKA NJE?


habari yako violet, kwanza nakupongeza sana kwa kuwa na blog ambayo inatusaidia sana , mungu akubariki
mimi nina shida moja, ni miezi karibu sita sasa, nimechukia sana tendo la ndoa, sitamani hata kidogo, ila kwakuwa nimeolewa, inanibidi tu! kulifanya, sasa unakuta napata maumivu makali sana baada ya kumaliza tendo, naumia sana maeneo ya sehemu za juu,nafikiri ni kwakufanya pakiwa pakavu, 

zamani nilikuwa nikitoa ute sana, Nilikuwa nikishikwa tu! Nalowanisha hadi kitanda,  lakini siku hizi inabidi akitaka kuingiza apake mate kwanza,  yani hata nikijiforce kusikia raha, bado sisikii raha, sanasana naumia tu, na tunatumia muda mwingi tu! kuwekana sawa, lakini kwangu wapi
 
sasa hali hii nifanyaje iishe, nahisi mume wangu anaweza kuibiwa, na ninampenda, sijui sababu ni nini?? ni ugonjwa au ni hali ya kawaida inatoke, hali hii inatesa sana jamani, kiasi kwamba akitaka kunifanya tu! nahisi tumbo linaniuma, na jasho linatoka kabisa, 
 
 

7 comments:

 1. Hapo waone wataalam/madactari kwa hayo maumivu coz yamekutoa kwenye mawazo ya kusex yanayopelekea ukose hata ute! kwenye mapenzi ukiwa na matatizo yanayokusumbua hata muandaana bado itakuwa ngumu still utakuwa unawaza moyoni mwako una tatizo! pole sana dada yangu mungu atakusaidia utajisikia utamu tu!

  ReplyDelete
 2. pole dada yng ila kwa uzoefu wng kuna tatizo kati yako na mume wako labda kuna kitu amekukosea mpaka hamu ya penzi ipungue au unachoka sn hata hamu ya penzi inakuishia. au huna hamu tu mpnz wako kimapenzi.

  ReplyDelete
 3. Au unatumia madawa ya uzazi wa mpango. Jamani tuelimishane. Mimi nimeolewa huu mwaka wa nane sijawahi tumia dawa yoyote maishani mwangu ila nina watoto wawili na naona wananitosha. Naogopa kupata mimba nyingine kwani sitaki mtoto tena. Nikifikiria madawa wote na mume wangu tunasita kwa kuhofia kukosa raha ya kufanya mapenzi. Ni kweli madawa yanafanya mtu hakose hamu au nijaribu tu?

  ReplyDelete
 4. pole sana mdada binafsi hata mimi ilinitokea hali kama yako,laki kwangu ilikuwa baada ya kukwaruzana mno na mme wangu..jitahidi kusahau kama kuna kosa lolote alikukosea na kusolve pamoja.

  ReplyDelete
 5. kweli dada pole ila niko na mdau wa hapo juu, kuna kitu mumeo kakuboa ndio maana. fikiria na utattue mwenyewe. Pia tumia asali na mdalasini inarudisha hamu ya chakula cha usiku. kunywa kijiko kimoja cha chai cha mdalasini na kijiko kikubwa cha asali asubuhi na jioni game itarudi mahali pake au kabla ya tendo jinawishe na maji ya uvuguvugu

  ReplyDelete
 6. pole sana dada yangu,tafuta ni waoi kakuudhi

  ReplyDelete