Sunday, June 13, 2010

HAPPY BIRTHDAY TO MEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!


Nimeongeza mwaka jamani, nimekua, tunafurahia kuufikia utu uzima, namshukuru sana Mungu, kwa kuniongezea mwaka mwingine tena!
also many thanks to my Mom, Coz bila yeye mimi nisingekuwa hapa nilipo, amenipa malezi yapasayo hadi sasa nami naitwa mama kama yeye na nina familia yangu sasa, hakika misingi yake imara aliyoijenga alipokuwa ananilea, ndio hiyo imesimama hadi sasa, nafurahi kuwa na mama kama huyu! Mungu akubariki mama yangu, wewe ndiwe nguzo ya maisha yangu, zaidi ya mama wewe ni rafiki na mshauri wanguDad too, thanks for your support to mother, umetusomesha, umetuongoza, umetufundisha maisha, umetusaidia kwa mengi, kwa niaba ya watoto wako woooote watano, nawawakirisha kwa kusema MUNGU AWABARIKI WAZAZI WETU!

mwingine ni dada yangu (mama Godluv) Joy, coz ndie alieniandalia this small function, but ilinoga kusema ukweli, nilikata keki, nilikula, nikaimbiwa, we! raha jamani, mwenyewe nilikuwa sina hata mpango, lakini akasema no! ill do it 4 you, '' be under blesses of God dada! wengine ni wanangu, japo siku ya party walinitoroka, walienda kusimamia birthday ingine ya rafiki yao,nawapenda sana wanangu, coz wao ndio wanaonipa heshima ya kuitwa mama, wao ndio wananifanya niwe na furaha every minute


Pia namshukuru Mume wangu, thanks baba ''T'', coz yeye ndie alikuwa wa kwanza kuniwish happy birthday, na ameninunulia gift nzuri ambazo wala sikuwa nimetegemea kwa sasa, ameninunulia handbag nyekundu, kigauni chekundu na Belt lake, na viatu vyekundu, we! nimenoga kama nini? asante sweet heart!
namuomba Mungu, anipe afya njema, amani, furaha, abariki kila ninachokifanya,
AMEN!

6 comments:

 1. natoka nje ya mada
  hizo ni nywele zako???

  ReplyDelete
 2. Happy belated birthday my love,hongera sana na Mungu akuongeze siku zaidi na zaidi hatimaye uvione vitukuu vyako ukiwa na afya tele,mpaka wakuanike na kukuanua.
  Congrats for having a good family,kuanzia utokako mpaka ulipoolewa. All the best mama wawili.
  Mumy Jnr-Mbeya

  ReplyDelete
 3. ulieliza hizi nywele ni zangu, hilo ni jibu, pigia mstari tu! thanks mamy Jnr, mmm shost imenichinia lo! by the way mwezi wa tisa nina rikizo, na this tyme hadi nije Mbea, naona nikikuona patakuwa hapatoshi,any ways, tuombe uzima tu! asante kwa maneno mazuri na ya kutia nguvu na baraka katika familia yangu, NA IWE HIVYO, AMINA!

  ReplyDelete
 4. happy bday MAMA TRACY, may God grant you more years.

  ReplyDelete
 5. happy bday mama wawili

  AISHA D

  ReplyDelete
 6. thanks Aisha,
  ahahahah, yani nikiona email zako huwa nakumbuka mbali sana, love you dear

  ReplyDelete