Wednesday, April 28, 2010

MUME WANGU HAJUI KUBEMBELEZA NA HATAKI KUBEMBELEZWA-HATA KITANDANI


Pole na kazi Violet, nimetuma email kama nne hivi, sijaona urushe, ss sielewi ulikuwa huipati au mimi nilikuwa nakosea address?

Tatizo langu ni kwamba mume wangu hajui kubembeleza hata kidogo, yani yeye anafoka masaa yote, na huwa hamalizi jambo, yani analibeba na kulikuza, na atalitumia hilo kukuumiza kila unapokosea,

Hali hii inaninyima raha sana, natamani sana kubembelezwa kama wenzangu, nawatamani sana, yani hata kitandani, utakuta mimi namshika shika, namramba, namchezea sana, lakini yeye anakuwa mgumu utadhani askari aliehisi kuna jambazi pembeni anamvizia, hatikisiki wala kupokea upendo wangu,

Niliwahi kutoka nae na kumueleza ninavyojisikia, akasema tatizo lako wewe nini? Kwani huwa sikufanyi ukaridhika? Mwanzoni hakuwa hivyo, yeye anafanya kazi mimi sifanyi, basi hata ukimpigia simu kama unashida, vile anavyopokea ni kama mligombana, badala ya kusema haloo anasema ehe unasemaje? Sasa ile mimi siipendi kabisa violet, inaniumiza sana

Pia tunapokuwa kitandani, nikitaka kumpa denda, anakuwa kama ananionea kinyaa hivi, nikimnyonya maeneo ya makwapa anakuwa kama ananisukuma hivi wakati hizo ndizo zilikuwa sehemu zake, zamani ukimnyonya sehemu ya kwapa tu! Analegea sana na analia kama mtoto mdogo, violet, situkani wala sitanii, hali hii inaninyima raha, na hata kunipa dozi ni kwa kifupi sana, yani dakika mbili tu amemaliza na hataki kurudia tena, sasa unakuta mmi nakuwa bado nina hamu, naishia kugugumia tu wakati huo yeye anakoroma pembeni, sasa hii si mitego hii? Nikitafuta mwanaume mwingine anikoreze nitakuwa nimekosea? Au nifanyaje?
pia unaweza kuwa unamuelekeza jambo la muhimu na kwa upendo tu! lakini anakuwa kama hakusikilizi, na anaweza fanya hivyo hata mbele za watu, ananitia aibu sana,


7 comments:

  1. wanaume nashindwa kuwaelewa jamani sasa mtu unaongea nae kwa upole haelewi nachukia mimi...na wa kwangu nae hivo hivo the same problems mi nahisi jitu umeliambia halisikii kama wanavyofanya wao tafuta wa nje ili akuridhishe mana ye si kazi imemshinda khaaa....

    ReplyDelete
  2. mh! mumeo atakuwa anamwanamke mwingine, hana lolote lile, mimi sikushauri utafute mwingine nakushauri uchunguze kwa makini kabisa, usikute anamwanamke nje na anamaliza NYEGE ZAKE huko, akija kwako keshakamuliwa kama Ng'ombe, mimi I HATE wanaume, coz akishapata utofauti wa nje tu, basi anamdharau mkewe na kumuona mavi, pole dada, cha msingi chunguza, ukisema utafute wa kukuridhidha tu, unaweza pata maradhi bure dada yangu,
    pole

    ReplyDelete
  3. mpige chini FALA HUYO

    ReplyDelete
  4. Pole sana dungu yangu, huyo lazima ana mwanamke mwingine wa nje, sasa anafanya mambo yake huko akishakuja hapo ndani anakuona wewe wa kazi gani, na kingine unachotakiwa kufanya ni kufanya kazi kama unaelimu au ujuzi wowote tafuta kitu cha kujishughulisha usikae tu nyumbani, ndio mana anakuchoka pia, mana unakuwa tegemezi kwa kila kitu kwake, ungekuwa na kazi na kipato kizuri ata kama angekuwa anafnaya mambo yake hayo lakini angekuogopa na kukuheshimu hata kidogo, jitahidi dungu yangu usiwe unamtegemea kila kitu, atazidi kukuchoka na mwishowe utaikimbia ndoa, na je umsafi katika mazingira yote ya nyumbani na wewe binafsi? yawezekana pia unamboa na mambo madogo madogo hapo nyumbani, jaribu kujirekebisha kama lipo....basi kama hayo yote utakuwa nayo , upendo kwake, usafi, kumuheshimu na bado anafanya hivyo, huyo atakuwa na mwanamke nje tu... ila cha muhimu ni kujishughulisha ili uwe na kipato chako mwenyewe... POLE kwa hilo

    ReplyDelete
  5. mume wangu alikua kama wa kwako, sijui ndugu? lakini mimi mwenzio shosti, uzalendo ulinishinda, miaka mi5 ya mateso haya ilitosha. ya nini kutafuta ma pressure ujanani? pole, msalaba ni wako, kuubeba au kuutua. tulioana kupendana sio kupeana karaha jamani. umri alionao mumeo hawezi kubadilika sanasana ni ujifunze kuishi na hiyo halo. vinginevyo funga virago, ndoa ni kupendana si kuvumiliana.

    ReplyDelete
  6. Pole ila ndio maisha ukivumilia sana unachoka jaribu kukaa nae na kumwambia kwamba upendi hiyo tabia na km ajajirekebisha ishia zako coz atakupotezea muda na kukupa presha ya maisha alau hata kama ungekuwa na mtoto anakuliwaza kwa kucheza nae na mambo ya hapa na pale kuliko ukiwa una baby.

    ReplyDelete
  7. Katika Maisha ya mwanadamu kuna mambo mengi anayo kutana nayo.Katika maisha ya Ndoa siku zote ni kujifunza namna ya kupambana na maisha ya kila siku ndio maana mkipendana sana na Mume wako lazima
    Ndugu watakuwa watakusumbua na kama siyo ndugu basi majirani wataleta kikwazo kwako.Nimesoma maelezo yako na kwa kiasi fulani nimekuelewa
    Lakini mimi naweza kuwa tofauti na wale wanaosema Achana naye kila Mwanaume ana kasoro zake na kama wao wanavyosema kuwa kila mwanamke ana kasoro zake lakini yooote katika yote kasolo hizo hazionekani kwasababu zinafichwa na Upendo,maana upendo huvumilia yoote.
    Watu wanapokuwa Wachumba mambo mengi tunakuwa hatufahamiani lakini inapokuja ndoa kufahamiana na kujuana zaidi na mazoea yanaingia hivyo Mtu anaanza kuangalia kasolo za mwenzake kuliko kumpenda,Upendo usitiri wingi wa .....)Nakumbuka wakati mmoja nilikuwa mahala fulani alikuja mama mmoja akasema nataka kuachana na Mume wangu,Nilimuuliza kwanini?akasema kwasababu hayuko kama wanaume Wengine.
    Nataka nikutie moyo Ndugu yangu kuwa usije ukamfananisha Mume wako na Mwanaume mwingine hilo ni kosa kubwa sana.
    Lingine nataka nikuulize hayo mambo unayomfanyia mume wako toka mwanzo ulikuwa unamfanyia maana wanaume wengine anapoona umekuja na stahili mpya ambayo hajaizoea anaanza kujiuliza nani amemfundisha?ina maana ana wengine na kadhalika.kama yotee hayo yapo sawa mwisho nikupe mbinu ambayo wengi wanaitumia katika kurudisha kuifurahia ndoa na kamwe hutalala na njaa.
    Mnapokuwa katika ile faragha nadhani mwenzio unamuona au unaweza kuhisi kuwa ndio kwanza anataka kufika mwisho wa safari basi kabla hajafika unaweza kumsukuma kwa taratibu halafu ukaondoka hapo ni lazima atakuwa na hasira maana umemnyima raha yake akikuuliza kwa nini umefanya hinyo ndipo sasa unaanzisha darasa.Kumtoa aut haisidii sana kwa mwanamme kumrudisha kwenye stahili bali ongelea hapo hapo kitandani.

    ReplyDelete