Thursday, April 15, 2010

PETE ZA NDOA ZINA MAANA GANI KUVALIWA MKONONI?

mh!jamani ni vizuri kwa wajuao wakatuelewesha tusio jua kama mimi, ili nasi tukajua, ni kuhusu pete za ndoa, ambazo now adays zinavaliwa hovyo kama fassion tu!,mtu anavaa as if it was made for decoration,
first time nilikuwa najua pete ya ndoa haitakiwi kuwa na marembo yeyote yale, inatakiwa kuwa plain tu! iwe silver/Gold lazima iwe plain, but i was wrong, coz siku hizi watu wanavaa hata pete za ndoa zenye marembo rembo, na padri anazibariki na watu kuvishana,
yaweza kuwa Gold,

yaweza valiwa silva kama hii, mradi ni pete,

ss pete zinavaliwa kwa ajili ya nini, zina maana au ni pambo la mikononi tu! tena nijuavyo mimi pete ya ndoa ni ya muhimu kuliko hata ya uchumba, maana hata kanisani unapovalishwa pete ya ndoa unatakiwa kuvua hata hiyo ya uchumba uliyoivaa,

hebu tuwekane clear juu ya hili, maswali ambayo huwa najiuliza sana, kama pete ya ndoa ni muhimu mbona wanandoa wengi hawavai? tena sana sana wanaume, hawapendi kabisa kuvaa pete, akitoka kanisani tu! siku ya ndoa basi inawekwa kapuni, hapa ndio ninapo hisi kwamba labda hazina maana
lakini sasa kama hazina maana, kwanini wachungaji kanisani huzibariki, na hata kama ikipotea ukachonga ingine inatakiwa kubarikiwa kwanza? hapo ndipo ninapokuwa confused, hebu tueleweshane juu yahili, ni wengi nakutana nao amevaa pete ya uchumba, au ndoa, unaweza kumpa pongezi , he! umeolewa au unamchumba, hongera, naona pete mkononi, anakwambia ah! ni pambo tu! nasisi tuvaage,
wewe unalionaje hili? 




4 comments:

  1. dada violet, pete nijuavyo mimi ni kama ujuavyo wewe, pete za ndoa zina umuhimu mkubwa sana, ndio maana hazitakiwi kuvaliwa na pete zingine katika kidole kimoja, lakini siku hizi imekuwakama fasion, walioolewa na wasioolewa wote wanavaa, lo!imempoteza muelekeo wake kabisa

    ReplyDelete
  2. Pete za ndoa zina maana sana na zinavaliwa pale mnapopeana maagano au kiapo. nini ni ulichonacho kumwonyesha mwenzi wako kuwa umekubali mbele za watu? unatoa pete mbele za watu kama maagano.

    pia maana yake hiyo pete haionyeshi mwanzo wala mwisho wake, maana yake muwe pamoja mpaka mwisho wa maisha yenu. kama si wakristo.

    kama ulivalishwa pete ya uchumba kanisani basi ya ndoa itakuja juu yake. maana mimi pete ya uchumba nilivalishiwa kanisani sasa siku ya harusi sikuvua alivalisha juu yake.

    wanaovaa ili mradi ni kwamba dis appointment zimekuwa nyingi sana siku hizi mtu anaona aibu kusema naolewa miaka inaenda hadi saba we unaolewa hawamwoni mtu. ndio maana wanavaa mi nawajua kibao.

    ReplyDelete
  3. wizi mtupu!
    Enzi za mwalimu, pete zilikuwa zikiheshimika sana, lakini sasa hvi mtu anamumewe, lakini anaingia gest na mwanaume/mwanamke mwingine, na mipete mkoni, tena siku hizi wanachongea misifa, mipete mikuuuuubwa, lakini wizi mtupu
    bora walifute eneo la pete maana halitendewi haki ipasavyo,

    ReplyDelete
  4. wadau mimi nijuavyo pete zimekuja tu kwenye hii karne ya 21 kwani mama yangu na wazee wengi tu ninaowaona wmefunga ndoa lakini hawana pete nikajaribu kuuliza wakadai zamani hapakua na pete its only kiapo then mna sepa sasa huoni hawa wenzetu wasabato ki ukweli kanisani kwao issue hizo hawana labda ukapigilie ukitoka church,, ili mi ninavyoona hata ma pastor wa enzi hizo hawanaga pete na wana ndoa zao saaafii... tunaiga bana everything from ughaibuni but not our traditions as well as mtu akitoka nje ya ndoa eti anajidai anamuheshim mke/mume wake kwakuweka/kutoa pete my dear u just ly urself coz god see u...na hichi ni kirusi from ughaibuni tena mi sioni maana yakueka urembo kwenye pete ya ndoa sio poa saana as kama umekubali kuvaa vaa plain one right?

    ReplyDelete