Monday, April 5, 2010

NIMECHANGANYIKIWA- MCHUMBA WANGU ANANING'ANG'ANIA NIMFANYE KINYUME NA MAUMBILE

Nipo Mwanza ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nina mchumba ambae yeye ana umri wa miaka 25.uchumba wetu umeanza miaka 3 iliyopita ambapo mpaka sasa hata kwao wananijuwa na nipo katika process za kufunga ndoa na mahari nimetoa, bado ndoa ambayo tulipanga kufanya tarehe 12/06/2010 katika kipindi chote cha uchumba tuliweka ahadi ya kutofanya mapenzi mpaka ndoa.

siku moja mchumba wangu alikuja nilipopanga, kama kawaida mkikaa chemba wawili wa jinsia tofauti, chochote kinaweza tokea. Tulijikuta tunaanza kuchezeana na tukajikuta tumevunja ile ahadi tuliyoweka ila mbaya zaidi mchumba wangu alitaka nimfanye kinyumbe na maumbile " NIMLE TIGO "

hapo ndipo mimi nilipohamaki na kumuliza je mchezo huo ameanza lini na alinijibu kwamba alitaka ajaribuuu kwangu tu.Tabia hiyo ilinichukiza mpaka nikamuwa kuachana nae ila aliniomba msamaha na kuniahahidi kutorudia kunitamkia hilo neno yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Tatizo majuzi tu alikuja home kwangu tulale wote, usiku wakati mimi nimepitiwa na usingizi nilishituka ghafla baada ya kuhisi uume wangu unaguswa guswa, nikaamka, nilimkuta mchumba wangu amejiingiza uume wangu kwenye njia yake haja kubwa kwani mimi nilala chali na yeye ndio aliponikalia kwa matako na kujiingiza uume katika njia yake ya haja kubwa?

Nilishikwa na hasira sana, nikamuuliza kwa hasira, unafanya nini? na yeye alibaki kimya, nilikasirika sana na kuamua kumtimua kwangu usiku na nikamwambia simtaki tena .

Mbaya zaidi huyu binti nishamfanyia mambo kibao kwani nilimkuta hana mbele wala nyuma na mimi ndie niliyemsomesha amefika kidato cha sita na kupata kazi huku akitarajia kuingia chuo mwaka huu na tayari nimetumia ghalama nyingi kwa ajili ya ndoa.je ndugu zangu huyu mtu nimsamehe kama anavyodai yeye, kwamba hatarudia tena, au niendelee na msimamo wangu? Yani nimwache? Kumpenda bado nampenda sana. Nisaidieni ushauri

10 comments:

 1. Kaka mwacheeeeeeeee

  kalagabaho wenzako wameshamaliza kazi, haijalishi umemfanyia kitu gani, mwache hakufai huyo. ukimuoa usipomfanyia hivyo ujue atatoka kwenda kufanyiwa na wengine, mwache huyo jamani hakufai.|Maandiko yanasema hakuruhusiwi huko jamani. afadhali Mungu kakuonyesha kabla ya kuoa. kheri kuvunja uchumba kuliko kuvunja ndoa.

  ReplyDelete
 2. Pole sana kawa yaliyokukuta kaka yangu, najua kila mahusiano yana mapungufu yake ila huyu dada ni noma!Je inawezekanaje yeye kuomba amfanye mambo hayo kama sio mchezo wake?yawezekana alishazoea mchezo huo.Sasa cha kufanya, nakushauri ni bora ukae chini ujifikirie kama utamsamehe ni kwa misingi ipi?na kama ndio alikuwa akisikia kwa wenzie na yeye ameamua kujiunga na hayo mambo amefanya hivyo ili iweje?kwa sababu kun awanawake wengine wanaona wakiwapa tigo wenza wao basi watakuwa hawatoki nje ya mahusiano yao.

  Ila kama atakuwa na yeye alifanya kwa makusudi hayo basi ni bora na wewe pia ujaribu kutafuta muda na mkae wote chini huku ukujaribu kumuuliza kwamba ni nn kilichomfanya hadi afanye hivyo....

  Pole sana na usikate tamaa kwa kuwa Mungu ni mwena na kama huyo dada ni ubavu wako basi ucjali kwa kuwa yeye atafanya njia ya kutokea.

  ReplyDelete
 3. pole sana kaka yani huyo dada hata haoni aibu jamani..mimi nakushauri mkanye na mtishie kuvunja ndoa ikiwa atarudia huo mchezo na kama ikiwezekana basi tafuta mtu wa karibu unae weza kumueleza ilo jambo katika familia na amkanye pia jaribu kumuelezea kua ilo jambo si zuri kiafya jamani tena mwanamke akitaka kuzaa hupata athari nyingi akiwa anafanya mchezo huo..ukiona haelekei mpige chini endelea na maisha utafute mwingine kuliko kuja kumuoa halaf usiku mmelala afanye mchezo huo.

  ReplyDelete
 4. mh! wanawake bwana. ndio maana mimi sometimes huwa nawadharau sana, mkiombwa mnasema mmeonewa, mara oh! mnadharirishwa, tukitulia, mnaamua kututega, cha msingi jamaa huyo demu wala usimwache, wewe mfanyi anachotaka.
  du! jamaa una bahati sana wewe, unapewa halafu unakataa? da!

  ReplyDelete
 5. Pole sana kaka inaonyesha huyo mwenzako alianza mambo hayo siku nyingi na mtu mwenye tabia sirahisi kuacha ameshakuwa kirema muombe mungu atakupa ubavu wako huyo sie pole

  ReplyDelete
 6. We jamaa nitumie contacts zako kwa uporoto01@yahoo.com mi nitakurudishia gharama zako zote nahitaji demu wa hivo nawe tafuta mwingine munae endana.

  ReplyDelete
 7. kaka pole sana kwahilo ila nakushauri uachana kabisa na huyo mwanamke kwani ukimuoa na kama amezoea hataacha hiyo tabia nawewe usipomlizisha ataenda kwa wengine kwasababu amesha zoea matokeo yake atakuletea magonjwa nadhani Mungu anakupenda sana nandiyo maana akakuonyesha kabla ya kuingia kwenye ndoa kaka hafai huyo muache!

  ReplyDelete
 8. hayo ni mambo ya kawaida , mzeee uskondio saana , ndoa lazima mpeane starehe yeye ndiyo starehe yake , ukimwacha utakuwa ume miuoneya , kumbuka believe is life, iyo imani yako ya kwamba ma penzi nilazima mbele sio kweli hata mdomoni ni ma love tuuuuu

  ReplyDelete
 9. naomba namba zake kwenye mail yangu mchungajishoo@yahoo.com au dada vai nitumie namba za huyu jamaa nimpigie nimuombe namba za huyo demu

  ReplyDelete