Tuesday, January 26, 2010

TUPO PAMOJA SIJAWATUPA WAPENZI WANGU

jamani, kwenye email yangu kuna mikasa mingi hadi sielewi niuanze upi, mpenzi,  lakini nafikiri ni vizuri kutoa mkasa mmojammoja, ili tukimaliza tumemaliza, wapenzi miliotuma mikasa yenu, nawaahidi yote nitaituma, kwakuwa lengo letu ni kusaidiana, kushauriana, basi wala msijali, tutasaidiana tu, sijawatupa
Nawapenda wote na nawapa pole kwa mikasa  iliyowapata, pia niwakumbushe kuwa  matatizo hakuumbiwa mnyama, matatizo kaumbiwa binadamu, hivyo ni kama challenges tu katika maisha, msikate tamaa,

2 comments:

  1. Dada Mbona hatuoni mambo yanayotangaza blog, mambo ya urembo, na mambo ya mavazi. Sasa mambo ya mahusiano ndio yameshika kasi. hebu tupe nasisi mambo ya urembo tubadirike.

    ReplyDelete
  2. sasa tutakuwaje warembo wakati ndoa zetu zimejaa shida, mtu unaondoka nyumbani mmetibuana hata kuchana nyweli unasahau, si bora atuwekee mikasa yetu ili tushauriwe, nyumbani kukiwa na amani, utakumbuka hata kuvaa vizuri, kupendeza,
    wewe unataka urembo tu! Dada Violet, usiweke urembo peke yake, weka na story za watu, inasaida sana, pale hashauriwi mmoja, hata sisi tunaosoma tunapata ushauri na unatusaidia sana.
    OVER

    ReplyDelete