Thursday, January 21, 2010

Happy Birthday Furahaa

it was simple but goodFuraha akiwa na Dadiiiiiiiiiihapa akiwa na kaka na babaHapa napo  akitupa poziTracy nae hakuwa nyuma, akipata keki ilipendeza sana kiukweli, but sijamuona mama jamani, namtafuta.

6 comments:

 1. sherehe simple kama hizi jamani zinapendeza sana, katoto ni hand some sana, all in all nimependa keki, iko simple kama ulivyosema
  Ishallah! Mwenyezi Mungu amzidishie maisha marefu, afikie uzee

  ReplyDelete
 2. Hi mamii,
  Jamani mie nimekupenda sana na kila siku nimekuwa nikikusoma kwenye blog ya Dina. Nakupongeza sana kwa wazo lako na hatimaye kulikamilisha kwa kufungua blog yako, hakika akina mama tuko juu na hiyo imetoa picha kuwa wasikilizaji na Leo tena na akina mama wachangiaji wa kwenye mablog ya kijamii sio wote ni wakaa bure (joblesses,magolikipa)kama wengi walivyokuwa wakiamini.
  Nakupa big UP sana,na pamoja kama samaki na maji/uji na mgonjwa.Naamini Dina amekuinspire kwa kiasi chake.Hongera sana Dina pia.
  Mie napatikana Mbeya,karibu siku moja. Hope to call you 4 mo challenges.
  Love,
  Mumy Jnr

  ReplyDelete
 3. Namefurahi sana kuona blog yako watoto wako ni wazuri sana na shughuli yako imependeza ingawa ni simple kama ulivyosema. mimi naitwa joharia ni dada yake sakina hamisi tumepotezana siku nyingi naomba uwe ni mwanzo wa mawasiliano namba yangu ya simu ni +255715874476 na +255784874476 nawatakia wanao maisha marefu na mwenyezi mungu akukuzie.

  ReplyDelete
 4. asante sana mama Jnr,
  si unajua tena wanawake na maendeleo??? nitakaribia mbeya siku moja mpenzi, ngoja tukimbizane na shule kwanza, for sure Dina huwa nampenda sana na amenipa changamoto kubwa sana, all in all nahitaji sana ushirikiano wenu, na naamini kabisa tutaweza tu! wengi wanashindwa kufikia malengo kwa kuogopa kujaribu, mm huwa napenda kusema kuwa NOTHING BUT CONFIDENCE'' nakupenda pia, ukija Dar karibu sana coz ndio mwanzo wa kufahamiana dear wangu.
  gud day mpenzi
  MAMA TRACY

  ReplyDelete
 5. Hahahaha Dada Joa, nimefurahi sana kupata namba zako dada yangu, its a long time now toka tuachane, but thanks God if your ok, wory not sis, we will communicate,
  i love you
  MAMA TRACY

  ReplyDelete