Wednesday, January 27, 2010

NISAIDIENI NDUGU ZANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA
MUME WANGU ANATAKA KUNIINGILIA KINYUME NA MAUMBILE

Habari dada violet, naamini u mzima kabisa, kwa upande wangu mimi si mzima kimwili lakini nahisi kiakili naelekea kuchanganyikiwa, tangu niolewe ni miezi sita sasa, lakini sina amani kabisa ndani ya nyumba yangu, kwakuwa mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile, hali ambayo mimi binafsi siipendi na naona ni dhambi kubwa sana. Mume wangu aliponioa hakuniambia kuwa anapenda kufanya kitendo kile, hakusema kabisa, ila nilishangaa siku ile ya ndoa usiku akaanza kuniambia uchafu huo, nilikasirika sana na nilimlilia na kumwambia kama ni ndoa na ife, mimi siwezi kufanya kitendo kile, kwa kipindi cha mwanzo alinielewa kabisa, kadri siku zinavyoenda hali inabadilika kila siku, ugomvi hauishi, matatizo kila kukicha,
Kuna siku ilikuwa usiku sana, aliniamsha kwa hasira na kusema kuwa yeye ameshindwa kulala na hakuta kucha kama sitampa anachokitaka, na kujisifia kuwa mbona wake wa marafiki zake wanawapa waume zao na hawajaharibikiwa? kwanini namimi nisimpe? msimamo wangu ulibaki pale pale,gafla alishuka kitandani na kuchukuwa mkanda wa suruali yake, akaanza kunipiga, niliumia sana, badae niliishiwa nguvu kabisa nikaanguka, alinigeuza na kuniingilia kinyume na maumbile, niliumia sana, nililia sana, na kulipokucha akaniambia taratibu tu utazowea, na kama ukikubali mimi nitakupa kila unachotaka, akaondoka
nililia sana, lakini kitendo kile niliona cha aibu sana kuwashirikisha watu, nikaona nitamdhalilisha mume wangu, niliamua kukaa kimya, ila mwili ulima sana nikatumia dawa za maumivu, aliporudi jioni akataka tena ili nizowee, nilikataa nikamwambia basi niache, nipe taraka yangu niondoke, alichokifanya akanipokonya mtaji wa biashara niliyokuwa nafanya (nina duka la nguo za kike) akachukuwa nguo zote dukani ambazo hadi leo sijui zilipo, akaniambia sikupi taraka, ukitaka uishi kwa amani nipe ninachokitaka, nililia sana, niliamua kumwacha na kuendela na msimamo wangu,
kuna siku niliumwa sana usiku tumbo, akanipeleka hospitali, waliponipima waliniambia nina uvimbe kwenye kizazi inabidi operation, basi tuliporudi nyumbani nikamwambia anipe pesa akasema utakufa, ukitaka pesa yangu nipe ninachokitaka kwanza, nilimgomea, basi tukawa tunaishi hivyo hivyo, hakuna tunachoshirikiana nae, nikipika anasusa kula, nguo anapeleka kwa dobi afue, apasi, kitandani hata shuka alibadilisha kila mtu na shuka lake, nilimsihi anipe taraka niondoke, akakataa, akasema ole wako uvujishe siri hii, nilikaa kwa mwezi tena, kurudi hospitali daktar akasema uvime unazidi kukua na maumivu yanaendelea kwa kasi, niliporudi nilimsihi sana akakataaa, niliamua kurudi kwetu, mama alifariki, nipo na baba tu, na baba hana uwezo wa kulipia operation hiyo, kesho yake mume wangu akanifata kwa baba na kutaka nirudi, hadi hapo baba hakua akijuwa lolote, nilirudi kwa mume wangu, lakini hali ikabaki pale pale, kuna siku usiku alinikandamiza kwa nguvu na kuniingilia tena, niliumia na kulia sana, kesho yake akanipa hela ya upasuaji, Mungu alinisaidia nikapona haraka, niliporudi nyumbani hali ni ile ile, ananiuliza hadi leo hujazowea tu? nikamwambia sahau huo uchafu, na kama nitarudia tena nitakuwa kichaa, basi toka siku ile hadi sasa sijui cha kufanya, nawaza nimwambie baba yangu? baba ni mgonjwa mgonjwa maana toka mama afariki mwaka juzi hali ya baba imekuwa si nzuri nahisi na umri nao, naogopa nikimstua anaweza hata kupoteza maisha, kwao amenipiga marufuku kusema. niliwahi kumuita rafiki yake kumuomba aongee na mwenzie, nilishangaa yule baba nae akanilaum mimi akasema kwanini unamkatili mwenzio hivi? mimi mwenyewe mke wangu anafanya hivyo? na tuna raha kabisa, unakosea sana, alipotoka pale akaenda kwa mume wangu kumwambia, jamani nilipigwa siku hiyo kama mwizi, na mapenzi yangu kwake yamepungua sana, talaka hataki kutoa, na hataki niondoke
Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu, naona ninakoelekea ni kuwa mwehu kabisa, sina furaha wala amani kwenye ndoa yangu, naamini nitashauriwa vizuri na ushauri huo nitaufanyia kazi,
asanteni sana

98 comments:

 1. mh! kweli ukistaajaabu ya musa utayaona ya firahuni, mh! aka kama kila mtu anashida kwenye ndoa yake, yanini kuolewa??? mimi wala sitaki kuolewa kabisa, nina marafiki zangu wanne wameolewa lakini kila ninaekutanana nae, anasimulia shida anazopata, wanaume wamekuwaje jamani? ni kama wamashushiwa laana, yani kweli unamfanyia hivyo mke wako? unampenda kweli? kwanini utamani kufanya ujinga huo? dada mimi nakushauri ondoka, kwani talaka nini? ni maandishi tu kwenye kipande cha karatasi, ondoka kabisa, huyo mumeo hajui madhara atakayokupa na atakayojipa yeye? mpuuzi huyo anataka akuharibu hata kuzaa hujazaa, mimi nina miaka 38, sijaolewa na wala sitamani kuolewa, na maisha yanaenda kama kawaida, nina mwanangu mmoja tu! baba yake alinizingua nikaachana nae, kwanini upate shida na maisha yenyewe mafupi? hujasema uko mkoa gani, kama unaweza njoo huku Arusha tukae na mimi, tufanye kazi/biashara, tuendelee kuishi, sio kudharirika namna hiyo
  Niko serios kabisa, kama uko teyari, njoo, kama ni biashara tutafanya na ndio kazi yangu, nina maduka ya kutosha, sipendi kuona mwanamke mwenzangu anadhalilishwa nami nikafurahi, sipendi hata sikumoja,
  ONDOKA DADA, HATA HIYO TALAKA MWACHIE

  ReplyDelete
 2. HUYO NI SHETANI ACHANA NAYE HAKUFAI.

  ReplyDelete
 3. Dah! Yakupasa uwe jasiri sasa kwa kiwango alichofikia huyo mume wako. Nakumbuka Mama Salam Kikwete alitangaza namba ya simu apigiwe yeye mwenyewe na wanawake wanaopata mateso kwenye ndoa zao kutoka kwa waume zao. NATOA WITO HAPA "Mwenye hiyo na namba ya Mama Salama ampatie huyu dada" Huyu Mke wa Rais atakupa au wasaidizi wake watakupa msaada juu ya kero hiyo. Pia kuna taasisi za kushughulikia udharirishaji kama huo. Pole sana dada, wanaume wenzetu wengine ni matatizo kutokana na marafiki walio nao kama huyo baba uliyemweleza mambo ya rafiki yake na kukulaumu wewe. Kwa kupitia BLOG ya huyu mrembo utapata namba za simu za taasisi au ya Mama Salma Kikwete. Watu wanapuuza kuhusu namba ya Mke wa Rais wanaona kama siasa tu na si kweli. Ila ni kweli wanasaidiwa sana wanawake wanowasilisha matatizo yao. Kama hata kukupa taraka huko ataitoa bila kikwazo. Angalia muda wako unapotea bila faida.
  Ninayo mengi sana ila kwa sasa haya tu.
  BABA MKUBWA

  ReplyDelete
 4. Mmm mwenzangu pole hv hawa wanaume wanaubinadamu kweli??c dhani huyu mumeo umwambia kwanza umjaribu yy kumuinginza karoti aone shuhuri yake acnge rudia kukuambia ujinga huo. Pole mm cjaolewa so nashinda kukushauri ww ndio mwenye maamuzi ya mwisho but ninge kuwa mm ningeondoka ckunyi kabisa na sababu ningeisema, kuna dada mmoja alikuwa na mkasa kama wako yy alizaa mtt akawa kama na miezi cta hv jamaa akaanza kuomba mchezo mchafu alipomnyima akampiga na kumduu kinyume na maumbili asubuhi akamwambia mkewe kama ataki aondoke na mtt amuache, yule dada aliondoka kweri na mtt akamuacha baada ya miezi kidogo ckarudi sasa ckuelewa alikubaliana na mchezo or. Kaka zetu mnabidilike kabisa ww dada yako akifanywa hvyo utafurahi kweri??????

  ReplyDelete
 5. wanaume wa siku hizi ni kama wamepandwa na shetani vile, ni kama watu wasio mwogopa hata Mungu, hivi mume wako anadiliriki kutaka kukufanyia uchafu wa jinsi hiyo? Bibilia yangu inasema NDOA NI TENDO TAKATIFU, sasa huo utakatifu ndio kwa kuniingilia nyuma? imekuwa ni kama fasio, Mimi mume wangu alifariki, na enzi za uhai wake hajawahi hata siku moja kugusia ujinga huo, WANAWAKE WOTE AMBAO MNAOMBWA TENDO LA NDOA KINYUME NA MAUMBILE, mjuwe wazi kuwa hao waume zenu hawawapendi kabisa, mfunguke akili kabisa, kwanini atake kufanya hivyo? hakika kama anakupenda atakuheshimu na hatotamani kufanya hivyo, NI DHAMBI JAMANI, acheni tabia hii? ulimuoa sababu ya kumdhalilisha kama anavyofanyiwa huyo? POLE BINTI YANGU, NAKUSHAURI ONDOKA, KWANI HATA UKIENDA KUMSHTAKI ATASHTAKIWA TU! Ondoka, kama ni risk Mungu atakupa kwingine, achana nae kabisa huyo
  MAMA IRENE

  ReplyDelete
 6. Shost kukung'ang'ania huko hakumaanishi kuwa anakupenda, hupendwi kabisa, MUULIZE KAMA ANATAMANI KUKUFANYA HIVYO, NA YEYE UMTAFUTIE WATU WAMFANYE HIVYO ANAVYOTAKA KUKUFANYIA WEWE,halafu aone kilichomnyima nyoka miguu, inakera sana, mbona dunia imechafuka sana jamani, yani mume wa ndoa unadiriki kutamka au kutamani upuuzi kama huu kwa mkeo?
  WOTE MNAOOMBWA NYUMA NA WAUME ZENU, HAMPENDWI, narudia tena HAMPENDWI, na siku wako akikuomba mwambie ageuke na yeye umjaribishie hata na vidole tu, WAPUUZI SANA WANUME WA STYLE HII, mwingine utakuta anabembeleza sana, anapiga na magoti, ili umpe nyuma, mume wa best yangu mimi alikuwa na tabia hiyo, ila siku mke wake akamwambia kila siku unaomba kunifanyia huo ujinga, unadai ndio utainjoy, sasa inama nikujaribu kidogo tu! ukisikia raha utaniambia, Mwanaume alichukia sana, na toka siku hiyo hadi leo, tabia hiyo ilikoma,
  NA WAKO NAE AKOME, kama inawezekana mpe link ya huyu dada asome aone anavyokera watu,PUMBAVU SANA.

  ReplyDelete
 7. Dada violet mbona wewe huchangii? mimi kabla sijatoa ushauri wangu naomba nikushauri wewe kwanza, mimi naona mtu akiomba ushauri, anza wewe mwenyewe mmiliki, kisha tuachie wengine, ukikaa kimya tutaona hauna mapenzi kwetu, kwanini wewe usitushari kwanza,
  WEWE DADA MLENGWA UNAJIPENDA? UNAJITHAMINI? UNAJITAKA?
  MH! ONDOKA HAKUFAI HUYO
  AH!

  ReplyDelete
 8. Mpendwa hapo juu, ushauri wangu pekee hautatosha kwa huyu dada, ndio maana ameomba niurushe ili apate mengi zaidi toka kwenue, but ushauri wako wa mimi kuanza kuchangia, nitakufanyia kazi wala haina tabu,

  Mpendwa wangu ulienitumia email, naomba nikupe pole sana kwa yanayokukuta,kabla sijaipost, nimeisoma kwanza, imenisisimua mwili wote, kwanini mume wako adai kitu kama hicho kwako? kwanini atamani upuuzi kama huo? tena anakutishia kabisa, MIMI HUWA NASEMA HIVI, KUNA DHAMBI ZINGINE HATA MUNGU AKIZIANGALIA ANAFICHA USO WAKE, Kwani kule nyuma si kuna kazi yake? na mble kuna kazi yake? kila kiungo Mungu alikipa kazi yake, kwanini umkosoe mungu kwamba aaaa hapa sisikii utamu ngoja nigeuzie huku, mh! aisee inatisha sana, Usikubali tena upumbavu kama huo uendelee, usikubali na uwe mkali kabisa, si wako tu1 wako wanaume wengi wa tabia hiyo, sio vizuri kufanya hivyo kwa mke wako, UNAMDHARIRISHA, unamfanya ajione hafai kabisa,
  DADA kwa suala hilo na huo msimamo wa kichina alionao mumeo, mimi nakushauri ondoka, tena mapemaaa, kwani wewe huwezi kuishi bila yeye??? ulizaliwa nae huyo? ondoka, maisha ni kokote, utaishi, ni bora upate pesa halali kwa ugumu ambapo utakuwa na amani na heshima. kuliko kupata ya haramu kama hiyo ya mumeo na bado ukakosa amani na heshima
  ONDOKA, SI MUME HUYO, Hakufikiria kukuoa alikurupuka tu! siku ya kwanza tu! anaanza kukwambia upumbavu? mh! kazi tunayo jamani
  hayo ni yangu tu, pata ushauri zaidi, utakusaidia sana
  nakupenda

  ReplyDelete
 9. Duh!,mwili umenisisimka. Sielewi kwanini wanaume wanakuwa ivi. Kama alivosema mchangiaji wa mwanzo, huyo mwanaume sio mungu aliekupangia na huna haja ya kudhalilika na kupoteza utu wako eti tu kwa sababu hataki kutoa taraka.Taraka ni karatasi tu, ondoka na mungu ni mwema sana atakupa mume mzuri atakae kupenda na kukuthamini kuliko hilo li jitu. Ondoka usiendelee kupoteza muda wako hapo. Na akina dada wanaokuwa wanatoa nyuma eti ili kumridhisha mwanaume waache mara moja na ndoa huwezi kujipendekeza kwa staili hiyo. Tena mungu alieweka tendo hilo na kulibariki anapoona wengine wanafanya kintume na alivoagiza ni wazi mnapata laana.Imeniharibia siku sana hii story.

  ReplyDelete
 10. NAOMBA KUULIZA
  WEWE DADA MWENYE HII BLOG, UNADEAL NA MATATIZO KINA DADA TU? AU UNADEAL NA MATATIZO YA WATANZANIA WOTE??? NA KAMA NI YA WADADA TU UTUTANGAZIE TUJUWE, MAANA MIMI NIMEKUTUMIA MKASA UNAONIPATA TOKA JUZI, LAKINI SIONI UKIUWEKA HAPA NISHAURIWE, HADI MTU KUTUMA UJUWE AMEFIKIA HATUA MBAYA NA YA MWISHO NILITUMIA EMAIL HII viot3fem@yahoo.co.uk KAMA ULIYO IWEKA HAPO JUU, TAFADHALI NAOMBA IWEKE MIMI SIO KUTAKA USHAURI TU! NATAKA MUMFUNDISHE MWANAMKE MWENZENU USAFI, HALAFU NITAMPA HII BLOG YAKO AISOME,
  MAANA UCHAFU WAKE UMEKUWA NI TOO MUCH

  ReplyDelete
 11. Dada vailet nitakuwa mjinga kama sitakushukuru kwa kuanzisha blog hii, maana inalenga hali halisi ya maisha yetu tunayoishi kabida, ukidhani tatizo hili ni lako tu, kumbe kuna mwenzio analo kama lako, na zaidi ya lako,
  MUME WANGU ANATABIA HIYO, na nimemtumia blog yako asome, naamini atajifunza, huwa anaomba sana, lakini moyo wangu haujaridhia, kuondoka sipendi kwakuwa bado nampenda nifanyaje?

  ReplyDelete
 12. Zipo haki za kukutea wanawake jamani nani anajua no ya mama salma Kikwete ngoja tuulize ndugu kwa watu tukusaidie ikibidi ondoka maisha gani hayo huna amani talaka ni si karatasi tuu. ONDOKA
  mama Dear

  ReplyDelete
 13. KIMSINGI HUYO JAMAA NI MNYAMA NAONA NI LIMBUKENI ANAYEIGA KILA JAMBO HATA KABLA YA KUJUA FAIDA NA HASARA YA JAMBO ANALOFANYA.NAOMBA TUJUE KUWA UNAPOFANYA HILO JAMBO (TENDO) HATA SHETANI HUWA ANAKIMBIA MAANA HAAMINI KAMA TWAWEZA KUWA WATENDA DHAMBI KUSHINDA HATA YEYE HODARI WA DHAMBI.NINACHOSHAURI NI VYEMA UKAWAONA WAZEE WAKE,WASHENGA AU BESTMAN WENU NAKUMJULISHA YANAYOKUSIBU ILI WAWEZE KUONGEA NAYE

  ReplyDelete
 14. POLE SANA DADA ILA MIMI SIJAOLEWA ILA NKUSHAURI ONDOKA MAISHA NI POPOTE NA MUNGU ATAKUSAIDIA UTAFANIKIWA KUMSHTAKI NI KUPOTEZA MUDA WAKO.GLORY

  ReplyDelete
 15. MH! DADA UNA MOYO KWELI WEWE! HADI LEO UNANGOJA NINI??????MH! HAYA WE

  ReplyDelete
 16. maskini dada yangu pole sana mwili umenisisimka sana kusoma huu mkasa jamani hawa wanaume mbona wanatuletea mambo hapa duniani mtu unaolewa unasema sasa upumzike kumbe ndo unaenda kwenye mitihani mimi nachokushauri nenda kwenye vituo vinavyoshughulikia maswala ya ndoa na haki zake ni dhambi kubwa mwanaume kumuingilia mkewe kinyume na maumbile na pia unazaa kwa shida sasa akizoea kukufanyia ivi ukija kutaka kuzaa itakupa matatizo makubwa sana dada yangu kwa dini ya kiislam mwanaume akikutamkia tu na hata kama hajakuingilia kinyume basi ushapewa talaka sasa dada kama wewe ni muislam basi dini inasema ushapewa talaka na unauwezo wa kuondoka..jamaa huyo hakupendi sasa anakuharibia afya yako kwanini mungu aweke mbele kuwe ndo sehem ya tendo la ndoa anajua kama nyuma kutaleta maradhi achana na huyo mwanaume rudi kwenu wanaume ni wengi dada

  ReplyDelete
 17. POLE DADA NA UNA MOYO SANA, MUOMBE MUNGU WAKO KAMA NI MKRISTO NENDA KANISANI NA KAONGEE NA MCHUNGAJI AU NANI UONE WATAKUSHAURI VIPI MAOMBI MUDA MWINGINE HUWA YANASAIDIA NA HUYO MUME ANAWEZA AKABALIKA MKAISHI KWA UPENDO. VYOTE VIKISHINDANA ACHANA NAE NDOA ZIPO NA VITAENDELEA KUWEPO SIKU ZOTE

  ReplyDelete
 18. mmh pole mwenzetu, lakini kikubwa muombe sana Mungu na atakusaidia, maana huyo mwanaume ana laana tena kubwa tu. jitahidi tafuta sehemu za maombi mfanye maombi labdla atabadilika hakuna mapenzi ya lazima. na utakuja jutia usichana wako kwa vitu vya kijinga endelea na msimamo wako yakikushinda ondoka. hafai huyo mtu ni zaidi ya mnyama. umaskini wa baba yako na mama yako isiwe sababu ya kukufanya uteseke duniani maisha popote.

  ReplyDelete
 19. mh jamani kazi ipo! sijui tusioolewa tufanyaje, mana dah hujui kitachoenda kukuta humo ndani. wanandoa wengi kwa karne hii wana tatizo hili ila wanalifumbia macho, huyu dada anamuogopa mungu ndo mana ameshindwa hilo zoezi. dada yangu nakushauri mkimbie huyo bwana mana ni wakuogopwa kama ukoma. eeh naogopa sana, natarajia kuolewa mwezi wa nne lakini nimeogopa sana. mh jamani inafikia mahali tumuogope mungu, haya mambo ya sodoma sasa ndo yanashika hatamu. pole ma dia, yani ondoka haraka sana. baba mzazi utajua cha kumwambia lakini epuka hiyo kadhia kwanza.

  vivian

  ReplyDelete
 20. Dadangu hayo siyo maisha. Achana nae maana ukiendelea na hicho anachokitaka itakupa shida sana kwenye uzazi. Nawewe unahitaji kuwa na maamuzi kwani maisha siyo kwa huyo mwanaume tu, you can live without him.

  ReplyDelete
 21. AMTAFUTE IBILISI AU MAJINI AFANYE NAO HUO UPUUZI. DADA YANGU UNANGOJA NINI MAISHA NI POPOTE NA KAMA KWENYE NDOA HUPATI PEPO ONDOKA HIYO NI JEHANAMU!!

  ReplyDelete
 22. Pole sana dada yangu nadhani huyo si mume umempata shetani-ONDOKA HATA KAMA KWENU MKO MASIKINI

  ReplyDelete
 23. Pole sana dada, mimi niliposoma hii habari roho imeniuma sana, kwanini mwanamke mwenzangu upate taabu namna hii, kwa maoni yangu dada nakkushauri ondoka hapo atakuharibia maisha, wewe dada una nguvu zako, una mikono yake miwili, una afya njema, kwanini usiondoke ukatafute kazi,biashara,vibarua hata vibiashara vidogovidogo ujikimu kimaisha, mi nadhani unakaa hapo ukidhan ukiondoka utakula wapi utalala wapi, fight mpendwa, ungekuwa na kazi sidhan kama ungekubali kuteseka namna hiyo, ona sasa unaumwa hela hosp huna unategemea mwanaume na yeye hakupi mpaka umpe anachotaka, sasa ungekuwa na kazi yako si ungeenda kujitibu mwenyewe, toka hapo utapata mume mwema aliyekupangia mungu.

  ReplyDelete
 24. POLE SANA MPENDWA, MI NADHANI HATA UKIENDA WAPI KUSHITAKI HAITAKUSAIDIA KWANI MTU TABIA YAKE HAIWEZI KUIACHA KAMWE,MAANA MNAPOKUWA CHUMBANI MPO WAWILI SASA HUKU NJE ANAWEZA SEMA AMEACHA THEN ANAPOINGIA NDANI ATAKULAZIMISHA TENA, MI NADHAN USHAURI WANGU SOLUTION NI KUONDOKA NA KWENDA KUANZA MAISHA MAHALI PENGINE, KAMA NI MUISLAM AKIKUTAMKIA MANENO HAYO YA KUKUINGILIA KINYUME NA MAUMBILE NI TALAKA YAKO HIYO. POLE SANA DADA

  ReplyDelete
 25. Pole sana dada, lakini naona we ni mpuuzi kupindukia, angekuwa analala nje au ana tabia zingine ungemvumilia kwamba kuna siku atakuja acha. kuna mtu aliniambia kwamba ukianza ule mchezo inakuwa kama kidonda kinachopona, huwa kinawasha washa na unatamani kukuna, ndo huo mchezo ulivyo... kwa nini upoteze utu wako kwa mtu asiekuthamini?? Amekufanyia mara kibao, umenyamaza, anakupiga umenyamaza, huo ni udhalilishaji, Mungu akupanga kwamba katika ndoa mmoja amnyanyase mwenzie, bali wapendane na KUHESHIMIANA, sasa heshima iko wapi hapo??? Aaaaaagggggggggggrrrrrrrrr.... inatia hasira... hebu toa taarifa za huyo mume wako aadabishwe kwanza

  Mama B

  ReplyDelete
 26. Je tutaendelea kupeana pole tu au tuseme inavyostahili kuwa? Walioandika wote wameshambulia wanaume badala ya kutoa suluhu. Hiyo ndoa kwa kitendo hicho ni batili.Shauri ni kubwa na baya. Ondoka.Shtaki. kwani ni kosa kuingiliwa kinyume cha maumbile na ni kosa kubwa zaidi kwa kuwa hukufanya kwa hiari yako. Ninachotaka kusema hapa zipo mahakama za kifamilia, kiserikali ambazo zina uwezo wa kubatisha ndoa yako.kama huyo bwana amefikia umaluni huo wapo hao ambao anasema hakuwa na shida nao, wariridhika na shauri hilo awaendee hao ambao hawajui hata aibu wala haya.Kuna hatari nyingi sana za kuingiliwa namna hiyo na ni za kidaktari zaidi na hili halina ubishi.Starehe yake yeye huenda ikaleta mauti kwako.Ni ugonjwa huo kwake na awatafute wale wenye ugonjwa sawa na yeye ambao hawashikii kukunwa mpaka wakunwe milango ya uani.

  ReplyDelete
 27. Mhh tatizo ni la wote bana sisi wanaume na wanawake, nafikiri both side needs to play their part na kukaa kwenye maombi. Lakini kulaumiana si issue wamama lets come with the solutions not passin de blame accross de street.

  ReplyDelete
 28. kweli na haki unadhulumiwa na kunyanyaswa, katika vitabu vya kiislam vinasema yatupasa kumhurumia mwanamke kwa tabu na shida yoyote inayomkuta iweje leo mumeo akufanyie uhuni kiasi hicho, lakini pengine hujui nini haki yako kimsingi. sheria ya dini imesema yeyote mwenye kumuingilia mkewe kinyume na maumbile kwa sheria ya dini ya kiislam hawa si wana ndoa tena na hapo hakuna haja ya kuandika talaka hiyo ndoa imeshavunjika tayari aotomatically,hilo la kwanza, la pili kama utaendelea kuishi na huyo mume na msimamo wako ni kukata kumpa anachotaka basi jua wazi kuwa atatafuta mwingime nje ya wewe ili apate huo uchafu hatma yake utaambulia maradhi lakini zaidi atakusimanga na kukuona si lolote,ushauri wangu ni kwamba kwa kuwa ndoa mlifunga mbele ya viongozi wa dini anza huko katafute ushauri wao zipo haki za wewe kumuacha mume si lazima mumeo aandike talaka yeye hata wew unayo haki hiyo, kwa hapo mlipofikia ni pabaya mno, na ni moja ya mambo yaliyotabiriwa kuwa nyakati za mwisho yale yote yaliyotendeka kipindi cha nabii lutti yatajirudia, usishangae kuja kusikia hata yeye anachezewa na wenzie na hayo ni moja ya madhara ya mchezo huo.Pia naomba ufahamu kuwa huyo bwana na kundi la marafiki zake wote hiyo ndio mitindo yao kwa hiyo usithubutu kumshirikisha hata mmoja ahsante na pole sana kwa yaliokukuta ni mimi BOAZY 0784967532 kwa ushauri

  ReplyDelete
 29. Ohhh li laaniwe hilo li mwanaume sijui limelogwa, Halina akili nzuri, li shetani likubwa. Unajua vitendo vya kuiga ni vibaya huyo mwanaume anaendeshwa na marafiki zake hivyo haina aja ya wewe kuendelea nae hawezi kuongoza familia maana ana mawazo finyu, Wanaume wachache sana wanaojua how to care their women, achana nae haraka, Pia usimweleze baba yako hilo tatizo maana "uchungu wa mwana aujuaye mzazi" hivyo itamuuma kuona binti yake anafanyiwa hivyo.Pole sana dada yangu kwa yaliyokukuta IN SHORT achana na hilo li mwanaume najua hata wewe hulipendi, mwanamke hapigwi na ngumi anapigwa na doti ya kanga, ukiendelea nae utazidi kuuumiiiia, Wako DANSEL

  ReplyDelete
 30. wewe dada nakuonea huruma halafu nakuona kama mjinga vile kwani kwanini huwezi kuachana nae. au huna uwezo dada yangu shida ndio inakufanya uteseke pole sn. ila shida ni yako kuliko mwili wako uchezewe namna hy.

  ReplyDelete
 31. Аw, this ωas an eхceptionally good post.
  Taκіng thе time and aсtual effort tο maκе a vегy gooԁ artісle… but whаt
  can I saу… I procrastinate a lot and neveг seem to get anything dοne.
  Feel free to surf my webpage : earn money

  ReplyDelete
 32. WOW just what I was searching for. Came here by searching for laptop rentals chicago
  Also visit my web-site contractors in Orlando fl

  ReplyDelete
 33. It's wonderful that you are getting ideas from this piece of writing as well as from our dialogue made here.

  Also visit my site :: Http://discoveringsportsmanship.com

  ReplyDelete
 34. I've been exploring for a little bit for any high quality articles or blog posts in this sort of house . Exploring in Yahoo I at last stumbled upon this site. Reading this info So i am happy to express that I have a very good uncanny feeling I discovered just what I needed. I so much unquestionably will make sure to do not disregard this web site and provides it a glance on a continuing basis.

  Have a look at my site killyourstepmomstepdad.com

  ReplyDelete
 35. My developer is trying to convince me to move to
  .net from PHP. I have always disliked the idea because of the expenses.
  But he's tryiong none the less. I've been using Movable-type on numerous websites for about a year and am nervous about switching to another platform.
  I have heard good things about blogengine.net. Is there
  a way I can import all my wordpress content into it?
  Any kind of help would be really appreciated!

  Take a look at my web blog ... http://Is.gd/
  Also see my website - dental plan

  ReplyDelete
 36. Does your site have a contact page? I'm having trouble locating it but, I'd like to shoot you
  an email. I've got some creative ideas for your blog you might be interested in hearing. Either way, great website and I look forward to seeing it develop over time.

  Also visit my weblog :: ohyoublockcommunity.punbb-hosting.com
  my site: American Health Advantage Scam

  ReplyDelete
 37. Heya i am for the first time here. I found this board and
  I find It truly useful & it helped me out a lot.

  I hope to give something back and help others like you helped me.


  Also visit my web page :: analog bathroom scales

  ReplyDelete
 38. Ι еnjoy what you guyѕ are usually up too. Thіs κind of clevеr ωork and
  еxposuгe! Keеρ uρ the wondeгful worκs guys
  I've added you guys to our blogroll.

  my blog post - dechampionsyouth.blogspot.com

  ReplyDelete
 39. Good way of telling, and fastidious article to take data on the topic of my
  presentation subject, which i am going to deliver in college.


  Here is my blog - dental implant costs

  ReplyDelete
 40. Hmm it looks like your website ate my first comment (it
  was extremely long) so I guess I'll just sum it up what I wrote and say, I'm thoroughly enjoying your blog.

  I too am an aspiring blog writer but I'm still new to everything. Do you have any recommendations for rookie blog writers? I'd genuinely appreciate it.  My web site; http://dental-Quote.Com/

  ReplyDelete
 41. Thanks for finally writing about > "NISAIDIENI NDUGU ZANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA" < Loved it!

  My blog ... Costofrootcanal1.
  com

  ReplyDelete
 42. Greetings from Ohio! I'm bored to death at work so I decided to browse your site on my iphone during lunch break. I enjoy the knowledge you provide here and can't wait
  to take a look when I get home. I'm surprised at how quick your blog loaded on my phone .. I'm not even using WIFI, just 3G .
  . Anyways, awesome site!

  My webpage; Best online backup providers

  ReplyDelete
 43. Hi there would you mind sharing which blog platform
  you're using? I'm planning to start my own blog in the near future but I'm having a difficult time selecting between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I'm looking for
  something unique. P.S Sorry for being off-topic but
  I had to ask!

  Stop by my web page ... Http://Rootcanal.Pba-Dental.Com/Root-Canal-Cost

  ReplyDelete
 44. It's awesome to pay a quick visit this web site and reading the views of all colleagues regarding this article, while I am also zealous of getting familiarity.

  my website - detox and cleanse

  ReplyDelete
 45. I go to see every day some web sites and websites to read
  content, except this web site provides quality
  based writing.

  Review my blog post: Root Canal Pain

  ReplyDelete
 46. Ahaa, its pleasant discussion about this article at this place at this blog, I have
  read all that, so at this time me also commenting at this place.  Also visit my blog; Dental Plans Michigan
  my site :: Dental Plan MI

  ReplyDelete
 47. Hi there, eѵerуthіng іs going perfectly here anԁ ofсоurѕe еvery one
  is sharing facts, that's really good, keep up writing.

  Here is my webpage: Cecilia

  ReplyDelete
 48. Currently it sounds like Drupal is the best blogging platform available right now.
  (from what I've read) Is that what you're using on your blog?


  Feel free to surf to my blog post ... medhealthcareers.com

  ReplyDelete
 49. I соuldn't refrain from commenting. Very well written!

  Visit my homepage Alveo

  ReplyDelete
 50. Generally I do not learn aгtiсlе оn blogs, but I woulԁ lіkе to ѕay that this write-up very compelleԁ mе to take a looκ at аnd dο it!
  Your ωriting taste has been surprised me.
  Thank you, quite nice аrticlе.

  Аlѕο visit my webѕite .
  .. paintball

  ReplyDelete
 51. Great article! This is the type of information that are meant to be shared across the web.
  Disgrace on the search engines for not positioning this submit upper!
  Come on over and seek advice from my website . Thanks =)

  Also visit my web page; Ultrasound Technologists

  ReplyDelete
 52. How do I make firefox show at the top of my start list?  Also visit my web page ... http://paxillawsuit.Tv

  ReplyDelete
 53. I've been trying everything and unfortunately they won't
  work. I tried posting a playlist inside my wordpress within the 'Pages'
  section however the playlist won't show. Can someone please help with this?.

  Also visit my site - transvaginal mesh compensation

  ReplyDelete
 54. The Obama administration joined state attorneys general in negotiating a February settlement
  with the nation's five largest banks following revelations in 2010 that banks had been forging documents in the foreclosure process. The settlement is supposed to provide relief to homeowners in the form of mortgage modifications, reduced principal, and evensmall cash paymentsin cases of wrongful foreclosure. Debt Settlement Info Bank - The Collection Industry's portal
  to the 21st century

  Also visit my site: http://prozaclawsuit411.com/

  ReplyDelete
 55. Buying 'legal highs' from the Internet is a risky
  business Not everyone has a South Carolina personal injury attorney
  on speed dial when an accident happens. It helps to know a South Carolina personal
  injury attorney before an accident happens. Some people believe that a person is inviting accident
  by preparing for one. On the contrary, having a number of
  a South Carolina personal injury attorney to call is a reminder for a
  person to be a responsible individual.

  Here is my website - yasmin lawyer

  ReplyDelete
 56. In Firefox - The best way to open in new tab automatically once i click a bookmark?


  my site - transvaginalmeshlawsuitz.com

  ReplyDelete
 57. Great post. I am dealing with some of these issues as well.
  .

  Also visit my web-site: Cheap dental Implants

  ReplyDelete
 58. Definitely believe that that you said. Your favourite justification seemed to
  be at the internet the easiest thing to take note of.
  I say to you, I definitely get annoyed even as other folks consider concerns that they just
  don't recognize about. You controlled to hit the nail upon the highest as well as outlined out the entire thing with no need side effect , other folks could take a signal. Will likely be back to get more. Thanks

  Also visit my weblog; Green Coffee bean extract for weight loss

  ReplyDelete
 59. Do you have a spam issue on this website; I also am a blogger,
  and I was wondering your situation; many of us have developed some nice
  practices and we are looking to swap techniques with others, please shoot me an email if interested.


  my blog; dental implants costs

  ReplyDelete
 60. It's amazing to pay a quick visit this site and reading the views of all mates concerning this piece of writing, while I am also keen of getting know-how.

  Also visit my blog post ... dental

  ReplyDelete
 61. Before you do anything, take a walk around your house.
  You will likely find tons of things that you don't need. Maybe you have excess jewellery, appliances, videos, games, tools and so on. These things are probably just taking up space and serving no purpose for you, but could be of value to someone else. Liquidating your unwanted possessions is a quick method to consider. A handful of websites make it possible to sell your personal belongings that you may want to get rid of. The great thing is that there is no rush, if the 14 year old has something to do, they can just go and do the activity, the survey opportunity will be there to wait, and they will be able to capitalize on it on a later date!

  Feel free to surf to my webpage - success by anthony bonus

  ReplyDelete
 62. Awesome blog! Do you have any hints for aspiring writers?
  I'm hoping to start my own website soon but I'm a little lost
  on everything. Would you advise starting with a free platform like Wordpress or go for a paid option?
  There are so many options out there that I'm totally overwhelmed .. Any recommendations? Many thanks!

  Here is my webpage: acheter tweet

  ReplyDelete
 63. Hi there, yes this piece of writing is genuinely good and I have learned
  lot of things from it concerning blogging.
  thanks.

  Visit my blog post http://dunk-it.org

  ReplyDelete
 64. Greetings from Idaho! I'm bored to death at work so I decided to browse your blog on my iphone during lunch break. I love the information you present here and can't wait to take
  a look when I get home. I'm shocked at how fast your blog loaded on my phone .. I'm not even using WIFI, just 3G
  .. Anyhow, good blog!

  My webpage; buy potassium iodide

  ReplyDelete
 65. I was recommended this blog by my cousin. I am not sure whether
  this post is written by him as no one else know such detailed about my problem.
  You're incredible! Thanks!

  Visit my homepage - coolcatcasinobonus.org
  my page: http://onlinecasinosnodeposit.org

  ReplyDelete
 66. You ought to be a part of a contest for one
  of the most useful websites on the web. I am going to highly recommend this blog!


  Look into my webpage: playingonlinegames.net

  ReplyDelete
 67. Is definitely a copyright material being a reference to write articles illegal?  Here is my homepage :: vaginal mesh lawsuits

  ReplyDelete
 68. fantastic put up, very informative. I wonder why the opposite
  specialists of this sector don't realize this. You should continue your writing. I am sure, you've a huge readers' base already!

  Feel free to surf to my site - total body cleanse

  ReplyDelete
 69. Hi there, I discovered your website via Google even as looking for a similar
  subject, your web site came up, it seems good. I've bookmarked it in my google bookmarks.
  Hello there, just become alert to your weblog through Google, and found that it's really informative.
  I'm going to watch out for brussels. I will appreciate in case you continue this in future. Numerous other people will probably be benefited out of your writing. Cheers!

  Feel free to visit my site http://onlinecasinogamesnodownload.com

  ReplyDelete
 70. Ridiculous quest there. What happened after? Take care!

  Feel free to surf to my web-site hair salon Boksburg

  ReplyDelete
 71. Thanks in support of sharing such a nice idea,
  piece of writing is fastidious, thats why i have read it entirely

  Here is my web-site: event branding

  ReplyDelete
 72. Highly energetic post, I loved that bit. Will there be a part
  2?

  Here is my blog post: Caterers cape town

  ReplyDelete
 73. Good post. I learn something totally new and challenging on websites I stumbleupon everyday.
  It's always interesting to read through content from other authors and practice something from their sites.

  Stop by my web-site ... Visit link

  ReplyDelete
 74. I think this is among the most vital info for me. And i'm glad reading your article. But want to remark on some general things, The website style is wonderful, the articles is really great : D. Good job, cheers

  Also visit my webpage: site

  ReplyDelete
 75. I do not drop many comments, however after reading
  a few of the responses on this page "NISAIDIENI NDUGU ZANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA".
  I do have a few questions for you if it's okay. Could it be just me or do a few of the remarks appear as if they are coming from brain dead visitors? :-P And, if you are posting on other social sites, I would like to follow you. Would you list of all of your social sites like your twitter feed, Facebook page or linkedin profile?

  Visit my page :: more info

  ReplyDelete
 76. This site certainly has all the info I needed concerning this subject
  and didn't know who to ask.

  ReplyDelete
 77. We are a bunch of volunteers and opening a brand new scheme in our community.
  Your website offered us with useful info to work on.
  You have performed a formidable activity and our entire group can
  be grateful to you.

  Feel free to visit my web site - site

  ReplyDelete
 78. I usually do not leave a response, however I looked at some of the remarks on this
  page "NISAIDIENI NDUGU ZANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA". I actually do have some questions for you
  if you don't mind. Could it be only me or do a few of the comments come across like they are written by brain dead visitors? :-P And, if you are posting at additional social sites, I would like to keep up with you. Could you post a list of all of all your shared pages like your linkedin profile, Facebook page or twitter feed?

  Here is my weblog visit link

  ReplyDelete
 79. If you would like to get a great deal from this post then you have to apply these methods to your won blog.


  My web blog; Visit link

  ReplyDelete
 80. Highly descriptive article, I liked that a lot.
  Will there be a part 2?

  my homepage :: know more

  ReplyDelete
 81. Why people still use to read news papers when in this
  technological world everything is available on net?


  Feel free to surf to my web page - site

  ReplyDelete
 82. Turn Your Garden Into A Paradise Retreat With Topsoil!
  Rubber Mulch - Providing A Safe Ground

  my blog post ... http://www.globalwomenssummits.com/node/10576

  ReplyDelete
 83. Thank you a bunch for sharing this with all people you actually realize what you're speaking approximately! Bookmarked. Kindly also discuss with my site =). We could have a hyperlink exchange agreement between us

  Look at my page: visit link

  ReplyDelete
 84. You're so awesome! I do not believe I've truly read through a single thing like this before.
  So great to discover somebody with original thoughts on this issue.
  Really.. thank you for starting this up. This website is one thing that
  is needed on the web, someone with a little originality!


  Feel free to visit my blog click here

  ReplyDelete
 85. I've been exploring for a little for any high-quality articles or weblog posts in this sort of space . Exploring in Yahoo I ultimately stumbled upon this web site. Studying this info So i am satisfied to express that I've a very good uncanny feeling I found
  out exactly what I needed. I so much for sure will make sure to do not fail to
  remember this web site and provides it a look on a constant basis.  my webpage :: click Here

  ReplyDelete
 86. Usually I do not read article on blogs, however I wish to say that this write-up very compelled me to try and do it!
  Your writing taste has been surprised me. Thank you, quite
  nice article.

  My weblog; Free Online Backup

  ReplyDelete
 87. Addеd sοmе nеw items іn Ρugna`s еаsіly
  paѕs their frеe time whilе plaуacting the Τro Ϲhoi.

  near multіρlayer Οnline gаmіng websitеs
  do nοt Νeed uѕегs to downlοаd οf our сasual aliѵеness struggleѕ аѕ wе
  tгу to get the Beѕt out of еverything, substаntially at least,
  in real terms. I Ρеrmit it to aгdеnt uр and so ԁeteгmine Тrο Choi on Мatica.  Heге іs my wеb-site; game

  ReplyDelete
 88. Appreciate the recommendation. Will try it out.


  My web blog; click here

  ReplyDelete
 89. Hey! I'm at work surfing around your blog from my new iphone 3gs! Just wanted to say I love reading through your blog and look forward to all your posts! Carry on the excellent work!

  my web page; visit link

  ReplyDelete
 90. Yes! Finally someone writes about white patio furniture.


  Look into my page :: click here

  ReplyDelete
 91. Informatiνe article, just what Ι needed.

  Herе is my web-ѕitе - payday loans uk

  ReplyDelete
 92. Prettу! Thіs has been a гeally wondeгful article.
  Thank yοu for suрplying theѕe details.

  Reviеw my wеbѕite www.jedheads.com

  ReplyDelete
 93. I was able to find good info from your articles.

  Here is my homepage: costofrootcanal1.com

  ReplyDelete
 94. I read this article fully concerning the difference of most recent and previous
  technologies, it's remarkable article.

  Here is my web site ... family portraits Cape Town

  ReplyDelete
 95. I'm extremely inspired together with your writing talents and also with the format for your weblog. Is this a paid subject matter or did you modify it yourself? Either way keep up the excellent quality writing, it's rare to peer a great blog like this one these
  days..

  Also visit my web page ... Handmade Furniture Western Cape

  ReplyDelete
 96. Carefully allow go аnԁ then eѕtabliѕhed
  thе spidеr upside down (with its lеgs in the аіr) to drу.
  Ѕitting there on yоuг countег, it
  barеlу lοoks сapable of these types of wonderѕ, but
  the earliest timers and the sеasoneԁ cookѕ аlike wіll get pleasure from incoгporating that common tаste to theiг favoгеd
  disheѕ. Thе blood оf indiѵiduаls who ѕtay a dаilу life of tгy to eat,
  сonsumе and be merrу is common аnd thеіr resρiratorу іs
  гаther quicκ.

  my blog рοst - youmob.com

  ReplyDelete
 97. How can i display new blogs on my homepage?

  my site: get magic submitter

  ReplyDelete
 98. Excellent article. I'm dealing with many of these issues as well..

  Here is my web page - senuke xcr

  ReplyDelete