Monday, October 11, 2010

OFISINI LEO,

Kikazi zaidi,

Lo, unaweza kuwa busy sanaaaaa, but sometimes lazima ulifresh mind jamani oh!, 
Mh! tunapenda kupiga picha, tatizo mapozi ya picha ndio yamekaa kushoto kweli, ah! tutabanana humu humu, hadi pozi zieleweke, I LOVE YOU ALL!!!!!!!!!!!!!
6 comments:

 1. nimefurahi sana kukuona Violet, umependeza kweli, lakini kwanini hukuweka full, tuone hadi miguuni? au umejifunga kitenge? teh teh teh, umependeza sana dada

  ReplyDelete
 2. mmmm, jamani, ur so smart sister V, yani i wish you could be my sister, i like the style of you weaving, limekupendeza sana dada
  MINAH!

  ReplyDelete
 3. Nimepita hapa leo nikaona wacha nikusalimie...By the way nimeipenda blog yako mdada.

  ReplyDelete