Monday, December 20, 2010

(NAKARIBISHA SALAMU ZA X-MASS NA MWAKA MPYA)


kama wapenda kutuma salamu za x-mass na mwaka mpya, tuma picha kupitia email yangu ambayo ni  violet.gerald@yahoo.com, nami bila hiyana nitakupaisha '' itanoga zaidi kama utatuma na ujumbe wako wa mwaka! ili ninapoipaisha picha yako naambatanisha na ujumbe wako,
 '' mshukuru Mungu kwa kukufikisha mwaka mwingine tena, muombe rehema zake, muombe akuwezeshe kukamilisha malengo yako mema yote uliyoshindwa kufanikisha 2010 ili 2011 yakamilike,
PEKE YETU HATUWEZI- TUNAHITATAJI  SANA MSAADA WA MUNGU!!
KARIBU


 
TYMON AND HIS FRIEND


&  TRACE WITH HER FRIEND


 ARE WISHING YOU A MARY X-MASS &
HAPPY NEW YEAR (2011)


2010  Umekuwa mwaka mwema sana kwa Familia yangu, (mume wangu, na watoto wangu), hadi tunapokaribia kuumaliza mwaka huu,  Namshukuru Mungu kwa kutupa uzima, na baraka zake tele alizoziachilia kwetu. na kutuweka pamoja hadi leo hii kama familia, Im feeling so proud with my  Lovely ''TWINS'', they make me happy always, may the blesses of the Lord be with them for the  all coming years.
WE  LOVE YOU ALL!!!

2 comments:

  1. your baby are so cute violet, natamani nami nizae twins kama wako, hongera sana, nami nimetuma kesho nitakutumia picha yangu,
    wasalimie sana watoto wako.

    ReplyDelete
  2. umekuza mama wawili, kama nawaona vile bado wadogoooooo, jamani, Mungu ni mwema, kweli,

    Lilian - Dom

    ReplyDelete