Friday, April 29, 2011

SEND OFF PARTY OF DIANA

Karibu kwenye maisha ya ndoa Diana, Mungu akutangulie na akutee, akayafanye magumu yote kuwa mepesi kwako, ndoa tamu mwaya,
akiwa bado anaendelea kupambwa
baada ya kupambwa
Hair Style yao


Bi Harusi mtarajiwa alinifurahisha sana, ana pozi za ukweli, haogopi camera hata kidogo


Nikiwa na Mtarajiwa baada ya kumpamba, nimechoka balaaa

Kazi inaendeleaMama yake akifungwa remba
wewe njoo kama ulivyo, tunabandika na kucha pia
miguu hiyoKAZINI


 Baada ya kazi (SMILE)
wadada wazuri sana hawa, wamenifurahisha mno, hawana hofu hata kidogo

5 comments:

 1. mlipendeza lakini hiyo indian style huko kichwani ilizidi sana

  ReplyDelete
 2. ohpssssss, jamani wamependeza sana, ila violet nawe unaanza kunenepa sana ha! hebu punguza huo mwwili,
  maharusi wamependeza sana, hongera ,umejitahidi sana

  ReplyDelete
 3. Mh! kweli salon zinabadilisha, yani huyo dada kabla hajapambwa ni tofauti na alivyopambwa, amebadilika sana, utadhani sio yeye, umejitahidi sana violet, ila nakushauri, next tym punguza hiyo india style kama alivyosema mdau hapo juu, haya yanayoning'inia kwa mbele yamezidi, msingeweka angekuwa makini zaid ya hapo, ila pamoja na kuwa yapo hajachusha sana, amependeza, Big up! mama, nitakutafutia tenda za kumwaga, naona kazi yako
  RACHEL

  ReplyDelete
 4. mmmh violet jamani huyo biarusi, umemjaza sn manywele, ming^aro2 is to much hapo umechemsha bado kupamba huyo bint nimzuri ulitakiwa umueke simp, lakini hujachelewa sk nyingine utafanya vizuri kuharibu ndio kujua, tizama harus zawenzenu wa naigeria wako simp sana jitahidi

  ReplyDelete
 5. mh! wamependeza mwaya, tena wamependeza kweli violet, mdada amebadilika kabisa yani kamekuwa kazuri sana tofauti na ambavyo hajapambwa, walipendeza sana, kaza but dear, hao wanaosema hawajapendeza wana yakwao mengine, wayaseme tu!
  ushauri
  tuambie salon yako iko wapi,(biashara matangazo)

  ReplyDelete