Wednesday, September 8, 2010

HONGERENI KWA KUMALIZA MFUNGO SALAMAKutokula mwezi mzima sio masihara we!, hongerni mwaya, na nawatakia maandalizi mema ya Eid!

1 comment:

  1. teh, teh, teh, teh
    vai unavituko mtoto wa kike, ha! ila umependeza kweli, lakini inaonekana kabisa kuwa umefoji,
    asante mwaya
    asnat

    ReplyDelete