Tuesday, July 20, 2010

NAWAAGA WAPENZI WANGU - NINA MITIHANI


Wapendwa, kusoma ukubwani shida! ah! lakini tutabanana humo humo, hadi kieleweke,
nitawaacha kwa muda, coz nina mitihani ya kumaliza semester hii, tunaanza juma tatu.
so nitakuwa busy kwa muda,
si mwajua tena, akili inabidi niiweke na kuituliza mahala mapoja tu!, but i beleave in God, to be back soon!!!,
nitawamiss sana,  ngoja nikavune nilichokipanda.
BYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE6 comments:

 1. soma mwaya, Nakuombea mungu akusaidi ufaulu maana kufeli tena ufanye suprimentary, inabore sana, jitahidi sana mdogo wangu, utafauru tu!
  nakupenda sana
  Hidaya

  ReplyDelete
 2. huwa nakwambia, tuletee matokeo tuone,
  ulituaga hivi hivi kipindi kilichopita,
  nikakwambi ulete matokeo, matokeo yake kimya,
  sasa unatuaga tena,
  tunakudai matokeo mengine tena

  ReplyDelete
 3. hahaaaaaaaaaa
  wewewewewew
  unataka matokeo yangu?naanzaje kuyaweka humu? ili iweje? mshkaji unataka kunipa dau kubwa according to my results au,
  hilo gumu swahiba, siwezi weka matokeo hapa, but if you need, just come to my collage then ill show you. But hapa, ...... NO!
  GUD DAY

  ReplyDelete
 4. kasome mwaya mdogo wangu, mungu atakusaidia utafaulu, blog isikufanye uwe busssy sana, maliza mitihani yako, tunakusubiri,
  mitihani mema

  ReplyDelete
 5. HAYA MITIHANI MEMA MWAYA.
  KAZI NA DAWAA LAZIMA KUSOMA MY DEAR.

  THEN KUNA NUMBER HIZI MTAFUTE HUYU DOCTOR RAHAB
  0784338513 NA 0754411119 KUHUSU UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO JARIBU KUONANA NAE ATAKUSAIDIA MY DEAR

  ReplyDelete
 6. POLE MWAYA NI MITIHANI NDIO HIVYO WABONGO TUNAANZA MAISHA THEN TUNAMALIZIA NONDO NYINGINE BAADAYE SOMA MPENZI NA SIYE TUPO NYUMA YAKO KUENDELEZA LIBENEKE LA SHULE. BEST WISHES

  ReplyDelete