HALL - MWIKA (SINZA)
COLOR- GOLD, CREAM,ORANGE,
 |
BI HARUSI MTARAJIWA KWA SIKU HIYO.. BI MWANTUMU |
 |
MSIJALI, MAMA SHUGHURI NILIWAKILISHA |
 |
KEKI HIYO.. WAWILI KITANDANI,,, |
 |
NIKIWA NA MARAFIKI ZANGU, KUTOKA KULIA NI WINIFRIDA, MIMI, ANAEFATA NI DADA WA BI HARUSI, AITWA BIA ASIA,, NA KUSHOTO KWANGU KABISA NI CATHERINE |
 |
DADA ASIA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE |
 |
WOOTE HAO NI MADADA WA BI HARUSI MTARAJIWA,,, ALOPIGA MAGOT NI MDOGO WAO ALIKUWA AKIWATUNZA DADA ZAKE .. KUPENDWA RAHA JAMANI, WENGINE WAMESHINDWA KUJIZUIA WANALIA,,, NA SIE WENYE MACHOZI YA PROMOTION, TULILIA LAKINI MACHOZI YALIKUWA YA FURAHA |
 |
TULIWAWAKILISHA WAPENZI |
 |
KILA MEZA ILIKUWA NA CAKE,,, SO MEZA YETU SISI TULIMTEUA CATHERIN ATUKATIE KEKI, TULIKULAJE???
TUNAKUTAKIA MAISHA MAME NA YENYE FURAHA MWANTUMU
|
No comments:
Post a Comment