Tuesday, May 21, 2013

nimewamiss  sana wapendwa,,, nilikuwa busy sana na kuhangaikia maisha, but now im back ,, nimekuja na kitu kipya jamani,, lakini ni kwa wanawake tu!, waliozidi miaka 18, wenye uwezo wa kujitambua na kujua nini anafanya,,,, KUNA  BARTY YA AINA YAKE  ILIYOANDALIWA NA GROUP LA BEDROOM CHINI YA UNGALIZI WA FATNER FAKHIR NA MIE MWENYEWE,,, party hii itahusu mambo ya mapenzi/ mahusiano,,, its like get togher, but ndani yake kutakuwa na mafundisho,,, mengi nitazidi kuwajulisha,, leo nimewaibia siri tu muanze kujiandaaa,,, shere yenyewe itakuwa 30/6.13,, unataka kujua ni wapi?? tutatokaje siku hiyo???? usicheze mbali, uwe unatembelea hapa mara kwa mara kupata details za kutosha,,, ewe baba, mwanaume, mlete mkeo, mpenzi wako aje ajifunze zaidi ya anavyovijua yeye,,,,

1 comment:

  1. umependeza sana dada yetu,, nakupenda sana wewe dada, natamani kuwa kama wewe hapo baadae, pia nahitaji kuja kuonana na wewe, kuzungumza na wewe juu ya kitu fulani,, nakufagilia sana

    ReplyDelete