Monday, November 19, 2012

ANATAFUTA MUME..... ALIE SERIOUS KUOA AITIKE ASEME HAPA

Habari dada. 

Mimi ni mdada wa miaka 35 nimependa kukuandikia ujumbe ili unisaidie kuuweka kwenye blog yako ili yule atakayekuwa tayari kua mume wangu tuwasiliane na mimi.   Nimefikia kuandika ujumbe huu sababu nimeona kuna baadhi ya walioandika wamefanikiwa. kwa ufupi mimi nina mtoto mmoja na ningependa mume nitakayekuwa naye hata kama akiwa na mtoto nitamkubali na kumpokea mtoto. Awe anafanya kazi au biashara ya maana. awe anamcha Mungu. awe mwenye kujali familia.Asiyevuta sigara.  Yeyote atakayekuwa tayari awasiliana na mimi kwenye email yangu hii.

email ya huyu dada siiweki hapa, maana nanjua kuna mtakaoamua kumsumbua dada wa watu, wewe kama uko serios, niinbox mimi, halafu mimi nitamforwadia huyo dada email yako.


6 comments:

 1. Bibie wewe una vigezo gani? tuwekee picha hapo tukuone kwanza! kwa umri huo ukiweka masharti mengi utakosa mtu, na ujue wanaume wakifikia umri kama huo basi wana matatizo.

  ReplyDelete
 2. Natafuta mchumba mrembo uniandikie kwenye email address hi.
  hamletonglobal@yahoo.com
  au nipigie kwenye namba hi, +256 772 362 917

  Jina langu Mugabe

  ReplyDelete
 3. Natafuta mchumba mrembo uniandikie kwenye email address hi.
  hamletonglobal@yahoo.com
  au nipigie kwenye namba hi, +256 772 362 917

  Jina langu Mugabe

  ReplyDelete
 4. weng walagai hawana mapenz ya kwel

  ReplyDelete
 5. MI NAITWA JAMAL JUMA,NATAFUTA MWENZA,AWE MWANAMKE MTU MZIMA.MIMI NINA AGE OF 33.TUWASILIANE 0713362604

  ReplyDelete
 6. usijali mungu atakusaidia utampata mume na utatulia naye. nakutakia kheri nyingi kwani umefanya ujasiri na jambo zuri sana linalopendeza katika jamii.

  http://www.staryte.ucoz.com/

  ReplyDelete