Wednesday, October 31, 2012

EWE MWANAMKE, JIANDAE KUKUTANA NA WANAWAKE WENZIO TAREHE 1 DEC 2012,

Kutakuwa na chakula cha usiku, tutacheza, tutakul, Tutakunywa, tutapata mafunzo mazuri kabisa kwa ajili ya kudumisha furaha katika suala zima la mahusiano ya kimapenzi, sherehe itabase sana kwenye masuala ya BEDROOM,
Kivazi chetu siku hiyo kitakuwa ni black and gold kwa upande wa rangi, stay tuned, muda sio mrefu nitawatajia mahali itakaapofanyika,,ni nzuri sana kukutana na wenzio, kubadilishana mawazo, kushare challenges ambazo tunakutana nazo katika maisha yetu ya kila siku, hatimae kupata majibu yaliyo sahihi... vyote hivyo utavipata kwa shiling 30,000/= yako tu, unatuma kwenda namba 0757643422 M-PESA, na TIGO PESA kwa namba 0719-178 228,, hii sio ya kukosa,, karibuni

2 comments:

  1. ni wapi?? ni lini?? tuambie mapema ili tujiandae dada, lazzima nije jamani

    ReplyDelete
  2. jaman ni lini na wapi? nahamu mie cku ifike haraka.

    ReplyDelete