Monday, October 15, 2012

NILIWAMISSSSSSSSSSS

weekend yangu ilikuwa kama hivyo,,, tulikwua lion hotel(sinza). kulikuwa na party ya kina dada tu, kukutana, kubadilishana mawazo, kuondoa stress za maisha,,, na mwisho ni kufahamiana,,, ilipendeza sana, jiandaeni nitawaletea picha....
\

3 comments:

  1. Dada V umetoka kihasa dada maana du!! siku hiyo ulipokatiza mitaa ya Sinza ulipokea miluzi mingapi au tu ile mialiko.Kule vijiweni walivumilia kweli? Hivi dad V una mtu?Nitafurahi ukiwa mwaminifu kunipa ukweli. Uko pouwa sana dada.Hiyo nguo ilikutoajeeeee jamani utadhani umetoka kufyatuliwa kiwandani.Ubarikiwe dada.

    ReplyDelete
  2. Toto hiloooooooooo?umenonajeeeeeeeee?

    ReplyDelete
  3. bibie nimekuona bwana! thikupendi kabithaa wee mchoyo mbona hujanitonya kuhusu hiyo ladies party!!!!

    ReplyDelete