Tuesday, January 24, 2012

X- BOY FRIEND WA RAFIKI YANGU, ANATAKA KUNIOA, NIKUBALI??


Naomba ushauri dada,
Kuna shemeji yangu (x-boyfriend wa rafik yangu) anataka kunioa, waliachana na rafiki yangu miaka sita iliyopita, kipindi wako wapenzi nilijaribu sana kuwapatanisha, lakini rafik yangu alikataa,baada ya muda rafiki yangu aliniambia kuwa ana boyfriend mpya, sasa mazowea ya mimi na shemeji yangu yamebadilika, badala yake ananipenda mimi, na anataka kunioa kutokana na tabia zangu kuwa nzuri, dada Violet, najikuta namimi naanza kumpenda, nilimwambia rafik yangu, kuwa x wako anataka anioe, akasema niwe na amani tu! Yeye hana neno,
Sasa nishauri dada vai, nikubali?? Maana na mie ninataka kuolewa na nimempenda, nina miaka 26, mwili wangu unahitaji kuwa na mtu, na nimempenda kweli huyu aliyekuwa shemeji yangu, nisaidie dada kunishaur7 comments:

 1. Maureen Mwaimale mi naona ruksa muhmu amemshrikisha rafk yake.ila sasa badae hyo dada anaweza mkumbuka x wake akarudsha majesh niliona hii kny tamthlia 1 ya kenya.
  Maureen Mwaimale

  ReplyDelete
 2. Wala hakutakiwa kuomba kibali, si wamepandana ruksa kuoana, washindwane wenyewe, shoga yake alimtema mwenyewe na huku penzi jipya likachipuka kosa liko wapi?! ila mie mwenyewe kinyaa akuuu siwezi hii.
  Mirian Natai

  ReplyDelete
 3. She shud weigh it in her heart,whether ts juz sex drive or nt,whether a pity4him bcoz he was left by her frnd n can she really luv hm4whoeva he is,has she known hm wel to gv hm da rest of her life&like Mirian said if she's ready4hm then no nid2ask4advce,she shud b sure nt2listen2wat ppl wil say bout her/bein judged
  Edna Maria Lema

  ReplyDelete
 4. Afterall ts her life n seems kdg bdo hajamature dats why she's scared of livn her life mind u she shud remember marriage life is juz2of u acfkirie tu plesure ya weddn day or juz bein recognized as a marrd woman
  Edna Maria Lema

  ReplyDelete
 5. mungu akupe nini shoga kazi kwako

  ReplyDelete
 6. kama umempenda usijivunge dada alimshindwa mwenyewe we chukua na ameshakupa ruhusa,ila kuwa makini mtalaka hatongozi.

  ReplyDelete
 7. OLEWA MTOTO WA KIKE, WAO SI WALIACHANA??

  ReplyDelete