Friday, January 20, 2012

KITCHEN PARTY GALAHAYA WALE WADADA/WAMAMA,  MAFUNDISHO KUHUSU NDOA, MAHUSIANO NA VINGINE VINGI  KUTOKA KWA WAZOEFU YAMEFIKA,

 NI KITCHEN PART GALA, ITAFANYIKA KAMA IFUATAVYO
UKUMBI WA DANKEN HOUSE UPO MIKOCHENI KWA WARIOBA BARABARANI KABISA KARIBU NA MBALAMWEZI BEACH.NI UKUMBI MPYA NA WAKISASA.

UMRI NI KUANZIA MIAKA 18 NA KUENDELEA, VAZI LOLOTE LILE WAWEZA VAA MRADI UPENDEZE TU!

KIINGILIO NI TSH 30,000 KWA MTU MMOJA NA KAMA UNAHITAJI MEZA WEWE NA WATU WAKO WA KARIBU NI TSH 300,000
(meza ya watu 10)

MUDA KUANZIA SAA 8 MCHANA MPAKA SAA 2 USIKU

CHAKULA NA VINYWAJI VITATOLEWA

WAZUNGUMZAJI
AUNTY SADAKA

MAMA VICTOR
BI CHAU

Contact to 0789333537

BURUDANI
NYOTA WAZIRI
 (from zeze)


1 comment: