![]() |
| Style ya nywele ukiinama kichwani, sijui niitaje, this style anasuka mtu yeyote, mwenye nywele fupi na ndefu |
![]() |
| u see |
![]() | |
| hii nayo sijui tuite kiduku, sijui tuiteje, katikati yeboyebp pembeni mabutu |
![]() |
| umeona eeeee |
![]() |
| some times nikiamua mwenyewe nazitimua kama hivyo unavyoona |
![]() |
| hii nayo sijui nisemaje, unapanga style ya malinda kichwani, kama hapa kati inavyoonekana, then mwisho unaziachia |
![]() |
| hii ya kawaida tu, yebo kubwa na ndogo, |
![]() | |||||||||||||||||
| nimependezaje???? |









umenoga, hasa hiyo style ya kwanza
ReplyDeleteKwa kweli umependeza mpendwa wangu, lakini hiyo style ya mwisho si unatakiwa kuwa na nywele ndefu kama za kwako???? fupi zitakaa kweli?
ReplyDeletePENDESHA MAMY,
ReplyDelete