Saturday, December 3, 2011

KWA WENYE NWELE ZENU- (MY HAIR STYLE HIZO HAPO,) UNARUHUSIWA KUIGA,


Style ya nywele ukiinama kichwani, sijui niitaje, this style anasuka mtu yeyote, mwenye nywele fupi na ndefu

u  see

hii nayo sijui tuite kiduku, sijui tuiteje, katikati yeboyebp pembeni mabutu

umeona eeeee

some times nikiamua mwenyewe nazitimua kama hivyo unavyoona

hii nayo sijui nisemaje, unapanga style ya malinda kichwani, kama hapa kati inavyoonekana, then mwisho unaziachia


hii ya kawaida tu, yebo kubwa na ndogo,

nimependezaje????                 

3 comments:

  1. umenoga, hasa hiyo style ya kwanza

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli umependeza mpendwa wangu, lakini hiyo style ya mwisho si unatakiwa kuwa na nywele ndefu kama za kwako???? fupi zitakaa kweli?

    ReplyDelete