Thursday, December 29, 2011

SISIKII RAHA NINAPOFANYA MAPENZI- MAUMBILE YANGU YANAKUWA MAKAVU SANA- NIFANYAJE?


hellow dada yangu  nina matatizo naomba unisaidie sababu napata tabu saanaa... hua napita sana ktk blog yako  ndo nikaipata e-mail yako ndo nimeamua nikujushe hapa ili nipate ufumbuzi ktk shida yangu..
mimi ninamchumba wangu tunapendana ssanna. Tatizo tunapofanya mapenzi  hua napata maumivu makali sanna sehemu  ya uke wangu inakua kavu ssanna  hata yeye mchumba wangu hua ananiambia hajiskii raha  

sasa dada yangu na washauri wengine naombeni mniambie  nifanyaje ili uke wangu uwe na unato ili mie nifurahie mapenzi na mpenzi wangu nae afurahie tendo hilo???

ninapo pata maumivu basi hua mchumba wangu anakataa kuendelea na tendo hilio coz hua ananiambia hawezi kuendelea wakati mimi naumia, ananihurumia sana


mapenzi ni starehe  hivyo ili kumridhisha huwa ananiomba nampizishe na mkono  basi hua namchezea na mkono wangu mpaka anapiz sasa hio kweli si hatari ssanna au haina athari yoyote baadae??

ntakushkuru ssanna dada yangu kwa ushauri utakonipa
10 comments:

 1. cha msingi hapo ni mwanamke mwenyew ajiandae pia kiakili na fikra couze this things come from the deep feeling otherwise utapoteza nguvu nyingi na mwishowe utapata matatizo kama michubuko n.k,na pia kuna wanaume hivyo hivyo*2 utahangaika ku...mfanya ajisikie hamu kwa kumnyonya,touching him smoothly & nyama za ulimi as usualy but hata mshedede hautashtuka hata kidogo mwisho unaamuliza why inakuwa hivyo unakuta hana jibu,kwhyuo basi kikubwa ni maandalizi.See More

  ReplyDelete
 2. kuna mafuta ya kulainisha kuma, jina limenitoka, ila yapo kama mafuta ya nazi, kwenye kichupa design ya mafuta ya cherehani, (kile kichupa chake) mazuri yanalainisha sana, au nenda kwa specialist wa wanawake pale muhimbili

  ReplyDelete
 3. Jamani mi nahisi maumbile kwani utakuta wanawake wengine wanamaji mengi ukeni hata nyege zao zipo karibu.lakini wengine mpaka apate nyege wakati yupo kwenye heat basi ila siku nyingine jamani nehi

  ReplyDelete
 4. Muhm ni maandaliz ya kutosha,especialy kwa mwnamke alotairiwa ndio kabsa inabid mwanaume awe na subra na mtaalam wa kumuundaa mwnamke

  ReplyDelete
 5. pia anatakiwa kutuliza akili yake yote iwe pale ulingoni coz hata kama akipata doct wa kumshauri na asipoitune brain yake haitasaidia, na pia wafanye maandalizi kwa muda kidogo b4 kujig , mana sisi ni kama jiko la mkaa mpaka lipepewe ndo liwake wenzetu umeme unawasha na kuweka sufuria!

  ReplyDelete
 6. ishu ya maumbile pia ipo khs hili jambo ushauri aende kwa dk akamuone ijulikane km ni iishu ya maumbile au lah wengine huchukua muda mrefu sana wa maandalizi ndo kuanze kuwa wet

  ReplyDelete
 7. Vai mimi sio daktari lakini kwa uzoefu wangu huu wa kufanya matusi kuwa mkavu ni kwa sababu ya maandalizi mabovu au labda binti mwenyewe anastress coz unakuta hata sisi iko siku mambo inagoma hulainiki kabisa mpaka unakuta umechubuka hiyo unakuta labda umechukia au kuna stress fulani so zile nyee hazishukii kwa sababu ule ute ni necha yas kila mwanamke

  ReplyDelete
 8. mpendwa mdogo wangu uliomba ushauri, hizo comment kuna wadau wameshauri kwenye inbox yangu, hivyo nimekupostia hapo usome, unaweza kupata la kukusaidia, pole sana
  ila mimi ni kama nilivyokwambia kwamba, jiachie, legea kwa mpenzi wako, msioneane haya,zifahamu sehemu ambazo ukimshika unammaliza, nafikiri kwakirefu nimekwambia, natarajia majibu mazuri

  ReplyDelete
 9. Jamani hiyo kwa upeo wangu mdogo mi naona huyo dada atakuwa na tatizo la ku-ovulate, unajuwa kama mwanamke hau-ovulate hata utayarishwe na nani hamu haiji kabisa! nina experience na hilo. Nakushauri uende ukamuone Gynocologist yoyote atakupatia vidonge ambavyo utarudi normal. Fanya hivyo utaniambia.

  ReplyDelete
 10. Ku ovulate? Mmmh? Ngono huanza akilini ndo na huko kwingine kunarespond...... Mimi uzoefu wangu mwanaume wangu wa kwanza kwakweli ilikua ni ule upendo wa kitoto ule, usojua unachokifanya yaani mpaka nilikua navimba...duuh, na kweli yeye habari za kuandaana hazijui anangángánia kuingia tu.
  Basi nikapata huyu wa pili, jamani ninavyompenda nikisikia sauti yake tu sifai..Nishalowa chapachapa na anajazia hapo na mambo yanaenda poa, Jiandae mwenyewe kwa hilo, mwambie wapi unapenda akushike, akili yako iwe pale na sio mastress yako uanyahamishia hapo na utaenjoy nakwambia. Mimi sasa anenjoy kwakweli kuliko pale mwanzo na naweza kufiak kelele hata mara 3 kwa mzunguko mmoja.

  ReplyDelete