Naitwa violet Gerald, email yangu ni violet.gerald@yahoo.com
karibu katika blogu yangu/Blogu ya jamii kwa ajili ya kuweza kusaidiana mawazo juu ya maisha yetu ya kila siku hasa ya kimapenzi, so kama unahitaji ushauri Usisite tuma kwenye hiyo email yangu then utashauriwa ipasavyo
waoooo, nice family jamani, but always unamficha baba yao, muweke tumuone jamani
ReplyDeleteweekend njema na kwako mamy, umependeza na watoto wako dear
ReplyDeleteMmegawana watoto, msichana anafanana na wewe, mvulana nahisi anafanana na baba yake.
ReplyDeletehahhaha dears, baba yetu huwa hapendi kupiga picha, yani hadi nimvizie, ila msijali, ngoja nimvizie akiwa katika pozi zuri tu! nalipua, nitawatumia,
ReplyDelete