Sunday, September 11, 2011

NAWADORISHIA NYWELE ZANGU


MWANAMKE NYWELE BWANA, MAWEAVING KILA MARA YANACHOSHA NA JOTO HILI LA DAR

SIO WEAVING WALA NINI

Add caption

KWA NYUMA

NIKO NA AUNT WANGU CAREEN, NATAMANIA KWELI KAKUWE ILI NIKASUKE


3 comments:

  1. unatutamanisha sie wengine wenye vinywele jamani unajua vitu gani kwenye nywele tupe ujuzi jamani

    ReplyDelete
  2. uliahidi kutuambia unatumia nini kwenye nywele lakini naona umesahau. Nywele zako nzuri haya tupe siri ya mafanikio yako.

    ReplyDelete
  3. mbona unatutesa wenye vipilipili? hebu tujuze bathi watumia nini wewe

    ReplyDelete