Wednesday, August 10, 2011

POLENI KWA KUWATUPA WAPENDWA WANGU, NILISAFIRI KWENDA MIKUMI (TEAM BUILDING)

TULIENJOY SANA DEARS, HAHHAAAA, KWA KWELI NILIONA KAMA MUDA NI MFUPI SANA, KWAKUWA HUKWENDA, SHARE NA MIMI PICHA HIZO,


LILIAN NA MIMI


EUNICE NA MIMI
MIMI NA WAJINA WANGU (VIOLET)
EUNICE, RAFIKI YETU TUMAINI, NA MIMI
JUU KAIBISA ANAITWA ELINAMI, KATIKATI MWENYEWE, NA DADA YETU ZAI
POZI ZA UKWELI, ITABIDI NIJIGUNZE, BUT MMMM!!!! SIJUI KAMA NITAWEZA, NAFIKIRI POZI ZINGINE NI ZA VIPOTABLE,, PENDEZA SANA WEWE

2 comments:

  1. mmependeza sana jamani, hongereni sana, nipeni basi ajira na mimi kwenye hiyo ofisi yenu, hata ya kufagia fagia na kuwafuta mabosi miguu, maana du! sio mchezo

    ReplyDelete
  2. METOKA CHICHAAAA RAFIK YANGU, ILA PICHA ZAKO UMETUBANIA

    ReplyDelete