Wednesday, August 10, 2011

JAMANI TANZANIA YETU INA SEHEMU NZURI SANA ZA KUPUMZIKA,

TULIFIKA SEHEMU HII, KAMA MNAVYOONA WADAU
HEBU TAZAMA, UTASEMA MAMTONI DU!
HOTELINI HUKO HUKO UDZUNGWA
SEHEMU ZA UKWELI ( KWA WALE WA HONEY MOON)
KUSHOTO ANAITWA  BILL, EUNICE NA LILIAN, HUKO MLIMA WA UDZUNGWA
BILL AKIWA KATIKA POZI, MLIMANII,
FURAHA TUPU JAMANI, UKIENDA UTATAMANI USIRUDI
ISSUE ILIKUWA NDIO HIYO, LAZIMA UPANDE MLIMA
EUNICE AMECHOKA MASKINI, AKIFATIWA NA BILL, ABDUL & JAMES
STAFFS WENZANGU HAO, ALIECHUCHUMAA NI WAJINA MWINGINE (VIOLET)
HOTELIN
MANDHARI ZA UKWELI SANA,  TEMBELEA NA WEWE SWAHIBA WANGU, UTAENJOY SANA, YANI KULE HATA KAMA UNASTRESS ZAKO ZA MAISHA, PALE ZITAKWISHA KWA MUDA, YANI DU! NICE PLACE,

2 comments:

  1. Kama hautajali ningefurahi ungetuambia ni kiasi gani wanacharge kwa chumba ili nijipange na familia yangu.

    ReplyDelete
  2. tunaomba contact za huko pleasssss

    ReplyDelete