![]() |
| TULIFIKA SEHEMU HII, KAMA MNAVYOONA WADAU |
![]() |
| HEBU TAZAMA, UTASEMA MAMTONI DU! |
| HOTELINI HUKO HUKO UDZUNGWA |
| SEHEMU ZA UKWELI ( KWA WALE WA HONEY MOON) |
| KUSHOTO ANAITWA BILL, EUNICE NA LILIAN, HUKO MLIMA WA UDZUNGWA |
| BILL AKIWA KATIKA POZI, MLIMANII, |
| FURAHA TUPU JAMANI, UKIENDA UTATAMANI USIRUDI |
| ISSUE ILIKUWA NDIO HIYO, LAZIMA UPANDE MLIMA |
| EUNICE AMECHOKA MASKINI, AKIFATIWA NA BILL, ABDUL & JAMES |
| STAFFS WENZANGU HAO, ALIECHUCHUMAA NI WAJINA MWINGINE (VIOLET) |
| HOTELIN |
| MANDHARI ZA UKWELI SANA, TEMBELEA NA WEWE SWAHIBA WANGU, UTAENJOY SANA, YANI KULE HATA KAMA UNASTRESS ZAKO ZA MAISHA, PALE ZITAKWISHA KWA MUDA, YANI DU! NICE PLACE, |


Kama hautajali ningefurahi ungetuambia ni kiasi gani wanacharge kwa chumba ili nijipange na familia yangu.
ReplyDeletetunaomba contact za huko pleasssss
ReplyDelete