Tuesday, February 8, 2011

POLENI KWA UKIMYA WANGU DEARS

wapendwa wangu, niliwatupa kwa muda, kulikuwa na tatizo la kiufundi kidogo kwenye blog yangu hali iliyopelekea kuuchuna kulikopilitilza, bu now mambo shwari kabisa, mliotuma mikasa yenu niliiweka kapuni na tutaanza kuifanyia kazi soon.
na pia nawaaga jamani, naanza likizo kwa ajili ya mitihani ya kumaliza mwaka wa kwanza, so nitakuwa busy sanaaa na kitabu kwa kipindi hiki after that mambo yatakwenda kama yalivyopangwa, niliwamis na nawapenda sanaaaaa.

4 comments:

 1. samahani naenda nje ya mada, hilo ni weaving au nywele zako? kama nywele zako basi hongera zako, mie zangu ni kinyunyuke kweli.

  ReplyDelete
 2. kasome mama, mungu akusaidie

  ReplyDelete
 3. mbona ulipotea mpenzi vai au ubize ok basi masomo mema mama na mitihani mwema

  ReplyDelete
 4. Dada tupe picha za matukio ya mabomu kwani nadhani unakaa maeneo ya karibu. Mimi niko mbali na Tanzania ningependa kujua uharibifu ulofanywa na hili Janga. Nimeona picha za watu walojeruiwa sijaona jinsi majengo yalivyobomoka. Samahani kwa usumbufu ila kama ni ngumu ntaelewa.

  ReplyDelete