Monday, February 28, 2011

NIMERUDI RASMI WAPENZI WANGU-POLENI KWA KUWATUPA MUDA MREFU

nimerudi wapenzi wangu, baada ya kukimbia kama mwezi mmoja haivi, kutokana na mitihani iliyokuwa mbele yangu, but thanks God, coz nimemaliza mitihani, japo kabla ya kumaliza, tukakumbwa na mabomu, basi lo! mshike mshike kwenda mbele yani, ila namshukuru Mungu kwakuwa mimi na familia yangu tulinusurika, japo zile mbio nilizokimbia zilinifanya nipelekwe hospitali, 
im back dears, niliwamiss sana, pia mliotuma mikasa yenu, msijali, nitairusha hewani na kila kitu kitakwenda fresh kabisa, naanza na wale wa mwanzo na kuendelea, 
nawapenda

2 comments:

  1. shost nilikumiss sana pole mitihani na mabomu maana tulipata wasiwasi kweli shost na watoto na shemeji wamepona mungu mwema, nina shida na wewe naomba no yako simu nikupigie niko mbioni kuolewa na ndoa ya utuuzimani sasa natafuta fundi wa kunisonea gauni la harusi.

    ReplyDelete
  2. asante mwaya, namshukuru mungu familia yangu imesalimika, wote wazima kabisa. namba yangu ni 0719 178 228, karibu dear, ninavyopenda shughuri zipendeze lo! i wish kama yangu ingejirudia coz mishono kila siku inatoka mpya,
    maandalizi mema mamy

    ReplyDelete