tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post5735014940114625659..comments2024-03-13T06:35:09.077-07:00Comments on MAISHA , MAPENZI, UREMBO: POLENI KWA UKIMYA WANGU DEARSVIOLET........http://www.blogger.com/profile/17454645674881089302noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-52999565918925585342011-02-18T11:06:23.460-08:002011-02-18T11:06:23.460-08:00Dada tupe picha za matukio ya mabomu kwani nadhani...Dada tupe picha za matukio ya mabomu kwani nadhani unakaa maeneo ya karibu. Mimi niko mbali na Tanzania ningependa kujua uharibifu ulofanywa na hili Janga. Nimeona picha za watu walojeruiwa sijaona jinsi majengo yalivyobomoka. Samahani kwa usumbufu ila kama ni ngumu ntaelewa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-30074984844158583442011-02-09T05:58:13.385-08:002011-02-09T05:58:13.385-08:00mbona ulipotea mpenzi vai au ubize ok basi masomo ...mbona ulipotea mpenzi vai au ubize ok basi masomo mema mama na mitihani mwemaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-66773528282955795892011-02-09T04:32:07.501-08:002011-02-09T04:32:07.501-08:00kasome mama, mungu akusaidiekasome mama, mungu akusaidieAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8723492128486068654.post-20517515080664359272011-02-08T04:50:37.775-08:002011-02-08T04:50:37.775-08:00samahani naenda nje ya mada, hilo ni weaving au ny...samahani naenda nje ya mada, hilo ni weaving au nywele zako? kama nywele zako basi hongera zako, mie zangu ni kinyunyuke kweli.Anonymousnoreply@blogger.com