Sunday, September 9, 2012

MIMI NI BIKIRA.. NIMEPATA BOYFRIEND .... JE NI SAHIHI KUNIBIKIRI
dada violet,naomba msaada wako...
mimi ni msichana wa miaka 24,nimemaliza chuo mwaka huu,bf wangu
anamiaka 23 yy yupo mwaka wa mwisho..
jaman mm nina matatizo.kwanza huyu bf simwelewi tunamiezi 8 sasa tangu
tuwe pamoja ..hatujafanya sex coz mm ni bikra ..kinachonisumbua ni kwamba
kuna kipindi tulibreak up coz most of the times tulikua
tunagombana.(nilikua namdoubt vitu ambavyo baadae nilijua hafanyi plus
nilikua cwez kucontrol hacra zangu kwake ovr vitu vidogo
anavyofanya...i took hm for granted sa hv am payin the price)
niliporudiana akawa kama hayupo into the relationship kama zaman but

kunakipindi anakua so sweet..kuna siku nilimuuliza kama ananipenda
akasema hataki kunimislead bt anachojua anafeelings kwangu..niliumia
bt nikachukulia poa...sasa anaweza kuuchuna for 3 days,ukimchunia yy
ataanza kulalamika..namejarib kumwacha  but nimeshindwa kabisa..  he
wants us tusex na mm nataka pia nifanye sex..je anadeserve kuwa my
first?pili mm jaman matiti yangu hayapo same size,ingawa ukiyaangalia
haraka huwez kujua..jaman hii ni kawaida kwa mtu at this age?pia huko
chin jaman plus pale ktkt ya makalio ni peuc(co sanaaaaaa) kuliko
rangi ya ngoz yangu,haitakua a turn off kwa mvulan wakati wa sex and z
it normal?...
...plz nisaidien....................


13 comments:

 1. naomba usimpe mpaka akuoe maana utampa utamu then atakushit

  ReplyDelete
 2. Mimi ni mwanaume, nakusihi endelea kutunza bikira yako.kama umeona dalili za mambo uliyoyasema kuwa kuna wakati mliacha uhusiano,na tena mnakuwa gizani wakati fulani, acha kabisa kumsogelea huyo mwanaume wako.Utalia na kudhoofu sana ukimpa ubikira mwanaume ambaye hujamwamini kiasi hicho na yamkini akakutosa baada ya kukubikiri.Nadhani pia unataka kujaribu kuonja sex, lakini ujihadhari kujionjesha na mtu ambaye unajua una mashaka naye. Ubikira ni mali adhimu sana na hasa kwa miaka kama hii.Kama umeweza kusoma ngazi zote za shule hadi ukamaliza chuo kikuu bila kuvua chupi,tafadhali endelea hivyo kwani safari ya mafanikio yako iko karibu sana kumpata wa uhakika hadi ndoa ifungwe.Usidanganyike na sisi wanaume,na hasa ukishapewa ndio kabisaaa.Kwanza huyo ndo kwanza anagombana na shule na hujui huko kwingine yuko na nani. Kuhusu weusi huko chini usijali sana,naamini hiyo ni kawaida ya wengi na haina madhara.Huyo mwanaume atakayekukimbia kwa sababu ya weusi atakuwa ana shida zake au kwa vile utakuwa umempa.Ndio maana nakusihi usitoe Kuma kwa mtu asiye mume wako.Weka kufuri kabisa kama ulivyoweka ongeza la chuma.Nadhani kuna kina dada humu watakushauri nini ufanye ili uondoe huo weusi wanajua wao vema.Ila jiamini huo siyo ugonjwa.

  ReplyDelete
 3. dogo hapo hakuna mtu anataka tu iyo viginity yako then off he goez. From what i know vitabu vyote vya dini vinakataza kufanya ngono kabla ya kuoa au kuolewa so jitunze as mwanaume anaekuopenda na akijua still ni vrgin atakuheshimu as we mwenyewe umejiheshimu sana up to that age...

  ni very normal kwa matiti kua ivyo
  pia that colour ni kawaida mpenzi na mtu anaekupenda kweli he will never take your cloth off then akudump kwa kua unarangi ya tofauti huko IKULU.
  JITUNZE MSUBIRI MUMEWAKO PERIOD!

  ReplyDelete
 4. Endelea kutunza ubikira wako wala usithubutu kutelemsha hiyo chupi kwa huyo jamaa hadi umefunga ndoa.Umevuka milima na mito na bahari ukafika hapo bila mtu kuchungulia huko leo wakati ndo unakaribia kuolea umvulie chupi tena sasa ni maana ya kutunza ubikira hadi leo?Si ungevua tangu zamani? Shupalia hiyo bikira si kitu rahisi kukikuta miaka hii hivyo wewe una alamsi tunza mama.

  ReplyDelete
 5. Bibie!! Darasa la 1-7 ulishinda majaribu hukutelemsha chupi. Kidatu cha 1-4 ukakakamaa kabisa na ukavuka vema. Kidatu cha 5-6 ukasema hadi kieleweke na ukapanda mlima Rungwe. Chuo kikuu mwaka wa 1-3/4 ukapanda mlima Kilimanjaro ukasema hapachukuliki hapa hadi kieleweke mshindi nani.Sasa unataka kuangushwa na jani la mgomba na umeshinda kote huko kulikokuwa kugumu?Bibie kaa chini tafakari na nakupongeza kwa kuleta hapa ili tukushtue kama ulikuwa unataka kulala usingizi.Sisi wanaume tuoeneni tu tamaa mbele zaidi.Komalia bikira yako hiyo hadi siku ya vigelegele na vifijo visikike.Hakuna jipya mambo yote utajifunza siku ukiingia ndani.

  ReplyDelete
 6. hide your weakness,he try 2 manipulate u

  ReplyDelete
 7. Kuwa BIKIRA maana yake nini? Ni kwamba MBOO haijachungulia huko Kumani,yaani hujaguswa na mwanaume yeyote.Lakini vidole vyako vimeingia mara kibao. Dhana potofu ya ubikira imeingia kwa wengi kwani wandahani ubikira ni kudumu na utando wa tangu asili ukiwa mdogo kumani. Na hivyo kuwafanya wengi kudhani K haijatobolewa. Naamini wengi wanaelewa hivyo na ndio maana tumeshuhudia wengi wakisema mimi bikira, na naogopa kujaamiana kwa sababu naogopa nitaumia sana siku ya kwanza, na huku akali akijua kuwa vidole vyake vimeingia mara kibao, na hata midoli inayofanana na M na hata kujikuna mara kibao pale nyege zinapopanda kuhitaji dume.

  Binti nadhani ushauri wangu uwe kwamba endelea kukakamaa M yoyote isuguse huko hadi siku ya ndoa yako ndipo uruhusu kitu hicho kiingie. Ukiruhusu sasa hivi kwa mtu ambaye bado hamjafunga pingu za maisha utajikuta unakuwa mtumwa wake asiye na break maana utaehuka mno na hiyo kitu, mtu sikwambie bibie ukipagusa hapo hapaelezeki tena uliyejitunza muda wote huo!! Ni vema uje uwe mtumwa wa mwandani wako wa maisha baada ya kuwekeana viapo kanisani/msikitini.Tumekwambia ukipuuza utayaona mwenyewe na usije hapa tena.

  ReplyDelete
 8. Dada kwanza ongera sana kwani ni wanawake wachache wenye huo uvumilivu, cha kukushauri ww ji2nze yeye kama anataka kudo mwambie aende kwa wale ambao walishafanya ucmbembeleze kwani mume wako yupo ameandaliwa na mungu we humjui, ACHA KUWA M2MWA WA MAPENZ. kwa ushaur zaid contacts, 0785317060 0r 0755033884.

  ReplyDelete
 9. hangera sana dada kwa uvumilivu ila tambua hivi mapenzi kama asali hasa yale ya kitandani na sifa ya asali huonji mara moja, ushauri wangu usionje hasa kwa ncha ya kisu utakata ulimi wako mama.
  tunza bikra yako weuci na tofauti ya matiti yako cio kilema mama. jiamini unaweza pia ni mzuri.

  ReplyDelete
 10. NATAFUTA JIMAMA AU DEM MZURI.NITAKUNYONYA KINEMBE NA KUKUINGILIA KINYUME KAMA UKITAKA.CALL ME 0757303500

  ReplyDelete
 11. Hongera dada yetu, huyo jamaa hayuko serious na wewe so usijaribu kumruhusu aiharibu heshima yako, pia khsu rangi nyeusi kawaida usijali

  ReplyDelete
 12. tunza bikira yako tena hongera sana usiwe na haraka utakuja kufanya paka uchoke wakati ukifika...

  ReplyDelete