Friday, November 25, 2011

MSITUME COMMENT ZA MATUSI KWENYE BLOGU YANGU


Tafadhari, naomba msitume comment za matusi kwenye Blog yangu, kama unamshauri mtu, basi tumia lugha nzuri, kata ukali wa maneno,

Kuna wengine the way mnavyocomment, ni kama mnabifu na aliyoomba ushauri, sasa kwa wale ambao mlituma comment za matusi, basi hamtaziona, nitazidelete faster na hata kwenye dustbin yangu nitazitoa kabisa,

Blog yangu ni ya watu wastaarabu, wenye comment za kujenga lakini sio kutoa lugha chafu, kama mtu una hamu ya kutukana fungua blogu yako halafu waambie watukanaji wenzio  msaidiane kutukana humo, lakini sio hapa.

Ushauri huu sio kwa ajili ya aliyehitaji tu! Bali wengi sana wanafaidika hata kwa kusoma comment zilizopostiwa, nikiwemo mwenyewe, sasa wewe unaetukana, nakuona bado mshamba tu! Na huna kazi ya kufanya coz mtu aliye busy hana muda wa kucomment matusi,

USAMEHEWE BURE!

5 comments:

 1. nani ametuma matusi violet, muweke wazi, tena ikiwezekana weka na email zake hewani ili tumjuwe huyo mtu,
  kwanini watu mnakuwa sio wastaarabu??? ruga za matusi zinawasaidia nini????badirikeni jamani, hamuoni haya?

  ReplyDelete
 2. Miguu hiyo mama,
  asanteeeeeee

  ReplyDelete
 3. hongera dada, una umbile zuri sana,
  huyo anaetuma matusi mpotezeee, asikuumize kichwa

  ReplyDelete
 4. Mbele ya miguu hio hamna atatuma matusi ni maneno mazuri tu ya mahaba laha mpaka lohoni yaani.

  ReplyDelete
 5. hello,mambo vip?cjui nimekufananisha au ndio wewe mke wa fikiri elias una watoto mapacha tymon na tracey.ulikuwa ukiishi gongo la mboto,miaka ya 2007 tulikuwa tukifanya kazi na mume wako fikiri ofisi zetu zilikuwa posta mtaa wa samora kwenye jengo la umati. pia ulikuwa ukija ofisini kwetu,mimi Upendo.

  ReplyDelete