Monday, July 30, 2012

ANATAFUTA MUME,,,,,


mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 29 .nimeokoka nasali kanisa la fpct .tatizo langu sijapata mume aliyeokoka kila ninaye mpata hajaokoka na mimi natamani sana kuolewa na mwanamme aliyeokoka na mwenye hofu ya mungu lakini mapaka sasa sijapata hii hali inanitesa sana moyo wangu maana hata mdogo wangu wa mwisho amepata mimi bado.nimechoka kuwa pekee yangu natamani kuwa na familia na kuwa na watoto.nimefurahi sana kukuona blog yako Mungu akubariki kwa kuanzisha blog hii .




6 comments:

  1. Sasa bibie tukupataje na wewe hujaweka contacts zako? Halafu unapochagua kuwa unataka aliyeokoka umeshindwaje kumpata huko kanisani kwako ambako wote mnajiita mmeokoka? Hilo tu linanipa wasiwasi sana kwa ninyi nyote mnaosema tumeokoka na labda hujui nini maana ya kuokoka na ndio maana umeshindwa kumpata mtu wa kuolewa naye. nadhani ungesema unahitaji kupata mtu ambaye anamcha Mungu.Lakini ukiongeza hilo la "aliyeokoka' unajiongezea wigo zaidi. Tuma tena tangazo lako na rekebisha mahitaji yako na weka contacts zako.

    ReplyDelete
  2. dada kama una mwonekano mzuri unavutia tuwasiliane.Naitaji mke mwenye mvuto na mcha mungu najiona nitakua salama zaidi. sinbadbaharia@gmail.com

    ReplyDelete
  3. mi nafikiri hao uliowahi kuwapata hukuwapenda/hawakukupenda..nikiwa na maana ya kwamba ww ndie unaeweza kuwabadilisha na kuwafanya waokoke na kuwa na hofu ya mungu sio lazima kumpata aliyeokoka unless other wise subiri mungu akushushie huyo unayemtaka amina

    ReplyDelete
  4. NATAFUTA MDADA MZUUUURI TUPEANE PENZI TAAAAAMU! 0654389929

    ReplyDelete
  5. Weka contacts zako basi mimi naona wewe unaweza kuwa mke wangu mwema kwa sababu umeokoka.nami namcha Mungu.

    ReplyDelete
  6. Umeshindwaje kumpata huko kanisani kwenu. Endelea kwenda kanisani tu utampata huko huko kanisani. Maana huyo ndiyo utakuwa na uhakika na

    ReplyDelete