Tuesday, August 7, 2012

INAWEZEKANA KUURUDISHA UPENDO ULIOPOTEA??????

Ni swali ambalo wapenzi wengi hujiuliza, pindi linapotokea tatizo kubwa la kutereresha  Mapenzi yao,,, inafiki kipindi kila mtu anajuta kwanini nilianzisha au kwanini nilikubali kuwa na uhusiano na huyu mtu,,, pamoja na yoote hayo.. watu wale wanaendelea kuwa wapenzi na mikikimiki yooote hiyo,, ila mapenzi yao yanakuwa ya kawaida, yanakuwa mapenzi ya mazowea tu,,, ,,, sasa kuna kipindi kinafika mmoja wao anatakuwa anatamani kurudisha mapenzi ya zamani,, unakuta upande wa pili, haukubali kabisa kurudisha mapenzi, hapa ndipo mmoja wapo anapoweza kupata shida,,,,, NA KUJIULIZA,, NIFANYE NINI KURUDISHA UPENDO WANGU WA AWALI????  WEWE MSOMAJI WANGU,,, UNASHAURI NINI INAPOFIKIA KIPINDI KAMA HIKI???? FUNGUKA..................

2 comments:

  1. Sio rahisi kama tunavyofikiria, ukiruhusu upendo kutoweka ndani ya nyumba, basi ujuwe kuna gharama utakazolipia katika kuurudisha upendo huo, ndio maana tunashariwa sana ku u maintain upendo huo, lakini .. malipo ninayozungumzia hapa unawezaa lia sana,,,, unaweza ukaugua ukalazwa, ukateseka kabisa,,,,, hayo ndio malipo, sasa kwanini tusi maintain upendo usipotee????
    JESCA

    ReplyDelete
  2. INAWEZEKANA SANA KURUDISHA UPENDO ULIOPOETEA,.. lakini hii itawezekana pindi ambapo wote wawili matakuwa mmetambua tofauti zenu zinatokana na nini, na kuamua kuacha na kujirekebisa kuanza upya,,, maisha ya ushindani hayana mafanikio maana muda mwingi mnamaliza kwa kuzozana tu, hakuna muda wa kuwaza maendeleo kabisa,, lakini kama mtakaa kwa pamoja kila mtu akamueleza mwenzie udhaifu wake, inawezekana kabisa kubadilika, na mambo yakaanza upyaa

    ReplyDelete